Leo ni Idd El Fitr Dunia nzima isipokuwa Tanzania

Kuna mijitu inalazimisha myezi ya Saudia tu mbona ya Gana hamfungui nayo?
Mtapo gundua hao jamaa ni wa Marekani na hamuwezi kuchomoka ndo ndo mtajua hamjui
 
Huu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo. Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan.

Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho.

Idd Mubaraka.
Mizimu ya tz inajitegemea siku hizi!
 
Madhali hatuombani chuvi hao si wenzetu.
Uisilam hauindeshi na hisia au mipango ya watu.
Umewahi jiuliza kwa nini ukijamba unatakiwa kutia udhu na si kuchamba?

Mtume alisahau kutuambia tutafunga mwenzi mmoja ulimwengu wote na ametuambia Dunia itakua kiganjani?
Tareh14ijumaa Tanzania ziliungana na nchi ngapi kusherehekea IDD?
 
Mkuu ningependa kujua Kutokana na source yako mwezi umeandama wapi?
Mimi sikuanza kufunga na bakwata hivyo siku ya jumatano nilikuwa nakamilisha then alhamisi ndo ilikuwa sikukuu yangu hata kama mwezi usingeonekana j'tano.

Lakini pili mwezi ulionekana kenya na watu wakamthibitishia kadhi ila kadhi alikataa kuutangaza mwezi huo,clip zipo zenye ushahidi juu ya hilo.

Kumbuka kuwa suala la mwezi mimi siliwekei mipaka ya kinchi.
Ujue pale tandika kwa kishki leo asubuhi kuna watu wamekosa space?
Kwa nini walikosa space mkuu ?
Sasa sijajua kishki anatumia sheria gani ambayo inatofautiana na huyu mufti mkuu aliyedai hakuna eid?
Sheria ni kuwa kuna watu wanatizamia mwezi popote utakapoonekana na wao wanahesabu inawahusu.

Sasa kuna watu wanafata mwezi huo wa popote,mufti anafata mwezi wa maeneo maalumu ambayo hayaeleweki ni yapi
 
Mimi sikuanza kufunga na bakwata hivyo siku ya jumatano nilikuwa nakamilisha then alhamisi ndo ilikuwa sikukuu yangu hata kama mwezi usingeonekana j'tano.

Lakini pili mwezi ulionekana kenya na watu wakamthibitishia kadhi ila kadhi alikataa kuutangaza mwezi huo,clip zipo zenye ushahidi juu ya hilo.

Kumbuka kuwa suala la mwezi mimi siliwekei mipaka ya kinchi.

Kwa nini walikosa space mkuu ?

Sheria ni kuwa kuna watu wanatizamia mwezi popote utakapoonekana na wao wanahesabu inawahusu.

Sasa kuna watu wanafata mwezi huo wa popote,mufti anafata mwezi wa maeneo maalumu ambayo hayaeleweki ni yapi
Umeelezea kinafiki acha roho mbaya watu wakifunga kwa mitazamo yao wewe una athirika nini?

Yani ni kweli kabisa hujui wanafata mwezi wa wapi?
 
Mkuu tulia usiwe mkali.

Kwani wapi nimesema naathirika na kitu kwa hao bakwata kufuata mtazamo huo ?
Yani ni kweli kabisa hujui wanafata mwezi wa wapi?
Nimesema hivi kwa maana maalumu mkuu na wala sio kama namzushia mtu.

Mufti mara hii kasema haukuonekana tanzania,wala hhapo kenya wala kule comoro..

Maana ya maneno hayo ni kuwa laiti ungeonekana sehemu hizo basi angelitangaza tufungue that's why akazitaja sehemu hizo.

Lakini tukijerea mwaka jana hapo kenya waliuona mwezi na mufti wa kule akatangaza kuonekana mwezi huo lakaini hapa tanzania mufti ambaye huwa anaitaja kenya endapo mwezi haujaonekana hakuutangaza mwezi wa kenya.

Kwa nini mufti mufti hakuutangaza mwezi ule mwa mwaka jana wa kenya ulipoonekana wakati usipoonekana huwa anasema na kenya hawajauona ?
 
Yani ni kweli kabisa hujui wanafata mwezi wa wapi?
Lakini pia ili kuthibitisha kauli yangu kuwa ni ya kinafiki naomba uniambie ..

Kwa mujibu wa mufti yeye atautangaza mwezi ukionekana maeneo gani hapa duniani maana imeshathibitika kuwa hata mufti anafata mwezi wa kimataifa.

Je mataifa hayo ni yepi mkuu ?
 
Yeye wanini ikiwa wewe upo huru kufuata mwezi utakao?
Hizo chuki zenu ndo zinaonyesha wazi kwamba ndo makundi ovu
 
Nimemtaja mufti kwa sababu kuna mkuu hapo Scars aliuliza akamtaja mufti,kwa hiyo ikabidi na mimi nimtaje mufti kwa mujibu wa mkuu alivyouliza.

Nashangaa umevamia unaanza kunishutumu alafu nakuuliza maswali hapa unasema mufti wa nini wakati wewe ndo umevamia.

Kama huwezi kujibu hoja mkuu ni bora ukatulia tu kuepusha shari ambazo zinatokana na wewe.
Hizo chuki zenu ndo zinaonyesha wazi kwamba ndo makundi ovu
Mkuu mimi sijibu na siwezi kejeli.

Hii ni kejeli tu na wala siijibu.

Kama mimi ni kundi ovu basi naam Allah ndo atakayenihukumu,haya yako nayachukua kama maoni.

Naomba nikuulize tena kama umeamua kujibu hoja..

Back
Top Bottom