Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Asante sana rafiki, uliza nimebakiza miaka mingapi kupata penseni yangu? lol!
Amen
Shost upo?
Asante sana rafiki, uliza nimebakiza miaka mingapi kupata penseni yangu? lol!
Amen
nipo shost, busy kuandaa kitchen party yako........Shost upo?
Moto 2012 Mzee Tupatupa Kipipi na Chimunguru wengine wooote wa kunyumba kwani happy birthday kwa kingoni inaimbwaje!
Hongera na hilo ligwamba ni kwa ajili ya mimi mlongo wangu. nitami tu hapa nilindila umalikisayi lihengu hilo, ubwela kukina lenye ligambusa hilo.Mh Snowhite Hongera sana, ntakukuchezea Ligwamba ngoja kwanza nimalize kazi hahahahah
Sorry my dear, hii sikuiona, asante sana. Ni kweli imekuwa extended point...... maana inazidi kusogea tu, lolHappy Birthday Fixed Points Ingawa naona ni kama extended Points
Lol namaanisha @FP
Rafiki naona hii ilikupita, lol!
![]()
kwa kweli namshukuru Mungu, I cant complain....Ilinipita rafiki, I hope you'd a wonderful day.