Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
Asanteni sana C6 na mama kijacho charmingladykwa niaba ya kipenzi cha roho yangu mama kijacho charminglady , tunakutakia FP heri ya siku yako ya kuzaliwa,
epi besdei tuyuuuuuuuuuuuuuuuuu
rafiki yangu The Boss nashukuru sana kwa salamuHappy Birthday Rafiki
hongera and stay blessed
asante sana tedoHappy birth day @FP
Happy birthday FP!
May God grant you long life.
HAPPY BIRTHDAY @FP, uzidishiwe miaka mingi, uone vitukuu na vilembwe! amennnnnnn!
ha haaaaaaa, mwanzishaji wa nyimbo mwenyewe moto2012 sijui kama ana habari.
Asante sana mlongo wangu. nashukuru kwa card ya asubuhi, niliipenda sana
Dada nikakamwiliki na mahengu, ndi nimanya hinu!! Pepaayi mlongo ukotoayi kuhyoma!!
Asengwi chapanga kwa kuliwona ligono lwahogoliwi!!
Genayi mambu ga kizungu ne nimanyilepi tikemelayi wuli ligono la lelwiili.
In short, happy Birthday dada!! Mimi na wifi yako PretaTutakuletea kikofia, nepi na lipwani
ha haaaaaaaaaa, mrembo umri unatajika tu, ila naogopa hapa wengine watakimbia, lol!Heri ya siku ya kuzaliwa mrembo. Usitaje umri, just incase ukijikuta unahitaji kupiga reverse gear,lol
asante sana rafiki, nadhani leo sababu utakuwa na wangoni utacheza mpaka ufurahi
Amen kaka Mgaya, asante sana
hongera kwa kutimiza miaka 33 HAPPY Bithday tukuikale ugimbi mpaka ukuche
Rafiki na mkwe wangu mpendwa nakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa.
Mwenyezi Mungu akupe rehema zake, akuongoze uishi miaka mingi. Uwaone wajukuu na vitukuu wako wakiizunguka meza yako wakati wa chakula.
Na siku atakayoamua urudi kwake akuongoze njia yake ufikie mahali pake patakatifu.
Karibu kwenye foleni ya kulijongea kaburi.
Nakunywa Guiness kwa afya yako mkwe.
Bidada asante sana, hawa wanaume mbona mpaka sasa wameshatujua! wamwulize mwenzao mzee MtambuziHappy Birthday Shost FP.
Mungu akupe maisha marefu ili tuweze kupambana na wanaume wa CC,maana wabishi balaa.
BTW HAPPY BIRTHDAY DADA
asante sana rafiki, nadhani leo sababu utakuwa na wangoni utacheza mpaka ufurahi