Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,961
Kwa kipindi hiki cha Kwaresma Nakupa kibao Murua kabisa kutoka kwa Rose Muhando "Siki na Sifongo" acha kabisaaaaaaaaTaja Mwimbaji wa injili na ngoma zake unazozipenda😍😍😍
Sedekia-zote
1. Ni Neema
2. Dunia ya madiliko
R. Muhando almost zote
Shusho ndio kabisaaa
Essence of Worship
B. Bukuku-Nakutegemea Mungu wangu. And the rest
Anyway nawapenda wote
Twende kazi wana wa Mungu.
