Leo Ngoma za Injili tu

Leo Ngoma za Injili tu

National Anthem naomba unitafutie wimbo wa Patrick Kubuya, sikia maombi yangu

🎼🎼🎼kwa neema yako badili historia yangu eeh yesu sikia maombi yangu
🔥🔥🔥🔥
Yote ninayoitaji ndani yako nitayapata
Chini ya wema wako hunijibu kwa maombi
Nafsi yangu yakuhitaji Bwana
Kwa maombi ninakutafuta
Usiende mbali na mimi Bwana
Jifunue kwangu nakusihi
 
"Majina yote mazuri ni yako eeh Jehovah muumbaji wangu🎶
Nikuite jina gani kwani kila la kiheri ni upekee wako🎶
Umeniponya nakuita Jehovah rapha Mungu
mponyaji wangu.
Umenipigania nakuita
Jehovah Nissi
Bendera ya ushindi wangu.
Artist: Dedo Dieumerci
Song: majina yote mazuri
 
Napenda kuiimba fadhili zakoo
Zinazodumuu, milele yoteee.
Elishadaii muweza yote, wewe Ni mweeema hufananishwi.
 
"Majina yote mazuri ni yako eeh Jehovah muumbaji wangu🎶
Nikuite jina gani kwani kila la kiheri ni upekee wako🎶
Umeniponya nakuita Jehovah rapha Mungu
mponyaji wangu.
Umenipigania nakuita
Jehovah Nissi
Bendera ya ushindi wangu.
Artist: Dedo Dieumerci
Song: majina yote mazuri
Huyu jamaa namkubali saana
 
National Anthem naomba unitafutie haka kawimbo
 
Back
Top Bottom