Sioni wakristo waliokomaa hapa
Minister GUC - All That Matters
Minister GUC - Precious Holy Ghost
Enda Nasi By Reuben Kigame and Sifa Voices
😂😂Adui zangu nimewasamehe bureeeeeeee eeeeeeee.........
Na moyoni mwangu sina kinyongo tenaAdui zangu nimewasamehe bureeeeeeee eeeeeeee.........

Taja wimbo na Mwimbaji acha kionjo🤣🤣🤣Adui zangu nimewasamehe bureeeeeeee eeeeeeee.........
Bwana UliyewaitaWimbo gani au MWAMBA WENYE IMARA😎
I looove the song🥰What would I live for
If I don't have you in my Life
What would I Gain
If you take the Holy Ghost
What would have become of me
If I didn't see your Light
What would have been said of me
If you didn't hold my Hands
Now I've come to realise
That you are all I have
You're all that matters
Sidhani kama kuna mtu haujui
Tajeni ngoma bhana 🤣🤣🤣Na moyoni mwangu sina kinyongo tena
Watesi wangu nimewasamehe bure heeeeeeeeeeeeee![]()
Taja mbili tatu za nguvu.
Naanza na "Nitayainua macho yangu juu"
Adui Zangu... Neema MwaipopoTajeni ngoma bhana![]()

Huu wimbo dah, mzuri sana.Taja mbili tatu za nguvu.
Naanza na "Nitayainua macho yangu juu"
Matukio ni mengi katika dunia Na wanaotuudhi ni wengi mnoooNa moyoni mwangu sina kinyongo tena
Watesi wangu nimewasamehe bure heeeeeeeeeeeeee![]()
Raaaaaaaaaaaaaaha jipe mwenyeweeeeeeMatukio ni mengi katika dunia Na wanaotuudhi ni wengi mnooo
Na wengine ni wale wa karibu nasiii
Tutaweka wangapi katika mioyo?
Mwisho mioyo yetu ipasuke bureeee
Mwisho sura zetu, zizeeke mapema
![]()