Leo Ngoma za Injili tu

Leo Ngoma za Injili tu

Leo ni ijumatano ya majivu, kwetu RC ngoma zitakazotuliwaza for 40 days itakua...
  • Lakin hata sasa asema bwana nirudieni kwa mioyo yenu yote
 
Taja Mwimbaji wa injili na ngoma zake unazozipenda😍😍😍

Sedekia-zote
1. Ni Neema
2. Dunia ya madiliko

R. Muhando almost zote
Shusho ndio kabisaaa

Essence of Worship

B. Bukuku-Nakutegemea Mungu wangu. And the rest

Anyway nawapenda wote

Twende kazi wana wa Mungu.
Mimi ule wimbo wa salama rohoni version ya Wilber Force naupenda sana. Halafu kuka yule mnaijeria wa you have done me well nauelewa sana. Halafu kuna Mungu yupo wa mzee wa upako.
 
Essence of worship- ninapenda nikuabudu. Christina shusho- ongoza hatua zangu. Martha mwaipaja- ombi langu kwa Mungu. Alpha- merci. Komando wa Yesu- yamebadilika. Walter chilambo- God of mercy, kwa kalvari, sijaona, usinipite. Emmanuel mgogo- ni wewe. Ada ehi- Only jesus. Chris shalom-my beautifier. Hizo ni baadhi tu list yangu ni ndefu sana.
 
Emachichi zote

Fanuel sedekia Manukato, Nishike mkono

Uinjilisti kijitonyama Hakuna Mungu kama wewe, masia wanyi

Rose muhando Ee Mungu nitashukuru, ndivyo ulivyo, sitanyamaza.

Aic Nyakato choir.. Dini iliyo safi, Mungu akisema ndiyo, Asante Yesu..

Joshua mlelwa Bam bam..

Krystal.. Sema nami, niguse tena, wastahili wewe..

Beatrice mhone.. habari njema

Hizo ni baadhi tu ya nyimbo kali za gospel ninazozikubali..zipo nyingi sana kias siwez kuzitaja zote hapa
 
Tumaini--Ni wewe. Mbarikiwa mwakipesile--Kazi yangu ikiisha. William yilima--Uko wapi eh Mungu wangu.
Hii top three huwa inanitoa sana machozi aisee.
 
Through eternity
Sound of Revival
Yes Lord
Alanu





MALCOM LUMUMBA
 
Back
Top Bottom