Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,651
- 22,817
Hivi vitoto vya hii generation huwa vinatafakalisha sana kwakweli. Ukiviwazia namna vinaendesha maisha yao na mwenendo inakupa mashaka kama tunaweza kuviachia taifa siku za baadae tukishakuwa wazee wa miaka 100 na zaidi. Hivi vitoto vitakuja kuuza hili taifa maana vimekuwa na uhovyo wa hovyo kupita maelezo.
Leo nitavisema kidogo ili japo viweze kupata wasaa wa kujua na kutambua vinasimama wapi katika jamii ya sasa. Nitabainisha mwenendo wao na namna vinakwenda ili basi viweze kujua kuwa vinafeli:
1. Hivi vitoto vya toleo la Generation Z a.k.a centennials communication skill ni zero kabisa. Havijui maana ya neno mawasiliano au kuwasiliana sijajua chanzo cha hili tatizo ila nadhani ni muendelezo wa malezi ya kupuuzwa na kutosikilizwa toka kwa sisi wazazi wao au wakubwa zao millennials a.k.a generation Y. havijui kabisa kucommunicate mawazo na fikra zao vipo vipo tu utadhani paka wa Bar. Havijui kuandika na uandishi sahihi kwao ni tatizo, wao haandika “xx”,”ndy”,”xema”,”K”,”P”,”shwr”,”nom xana”, kakitaka kukwambia ukapigie simu kanaandika “piga”au “pg” halafu kanakaa kimya usipokacheki nako kanapotezea.
2. Kutokana na uwezo mdogo wa kuwasiliana a.k.a poor communication skills hii inapelekea kufeli socialization (kujamiiana) na wanajamii wengine. Vinaishi kisela kupitiliza. Haviendi misibani, havipendi kushiriki ibada au jumuiya, havipendi kujichangana na wanajamii katika shughuli za kawaida kujitolea, vinaweza sikia mtu anauguzwa mfano Bibi/babu,mjomba/shangazi na muda mwingine hata baba au mama mzazi, kaka,dada yupo hospitali chenyewe ndio kwanza kinaingia Netflix kinatazama movie bila shida wala kuwa hata na hofu ya kuombea mgonjwa apone haraka havina hofu kabisa ya kupoteza wapendwa wao na vikiwapoteza vitalia siku ya msiba baada ya hapo vina disconnect na majonzi vinarudi kwenye hali ya kawaida kama vishetani.
3. Hivi vitoto vinapenda ngono na ni kwasababu havina uwezo wa kucontroll mihemuko ya tamaa za kimwili. Vinaona kungonoka ni jambo huria sana kwasasa na hakuna mtu wa kuwapangia kwasababu miili ni yao ndio maana saa hii vibinti vya 14 years tayari vimeshajua kuna P2, vimeshaanza kujua kuna doggy style vimeshajua kuwa kuna kutoa mimba before hata kufika miaka 16 ambao zamani ndio binti alianza kupata mihemuko ya usichana. Havijui tofauti ya tundu la uwani na kibalazani vyenyewe kote kote ni sawa kwa atakae kuwa tayari.
4. Hivi vitoto havijui maana ya ndoa, mahusiano ya uchumba wala mahari,vinachojua ni kuvibe. Kinaweza kuwa na hisia na wewe leo kwasababu umekitoa out mgahawa wa gharama sana ambopo dada zake wangekwenda kuhadithia kila mtu ila kesho kikakuona wa kawaida na kisijali utajisikiaje sababu havijui price ya efforts katika uhusiano wala havina ile normal human affection na connection ya commitment ya kimahusiano. Unaweza kanunulia iphone 16 pro max leo ila kesho kikaamka hakina hisia na wewe na kika ku’blue tik whatsapp huku unaona kapo hewani kanapost status na ukikauliza unashida gani mbona upo kimya kakakujibu “Nip K”. Havijali kabisa utajisikiaje au kama utaumia sababu havina hiyo system.
5. Hivi vitoto vinapenda pesa sana kwasababu ndio means ya kupata mahitaji yao ilahavijui kuithamini au kuitunza na kuitengeneza ndio maana vinapenda sana ‘quick cash schemes’ na kutajirika overnight. Usije ukakosea ukaandika jina la hiki kitoto chako kwenye hati ya shamba,nyumba au kadi ya gari na kikajua. Katakuja kuiba hiyo document na kwenda kuuza hiyo mali na pesa kataitapanya yote ndani ya wiki ili kajisikie kapo juu ya dunia. Vitoto vipuuzi sana hivi.
6. Havijui kuwa kuna katiba wala sheria za inchi. Kanaweza ona mwizi anakamatwa kakauliza kwanini mnamkamata sasa,kakaambiwa ameiba utasikia sasa si mumkaushie kwani nyie huwa hamuibi. Au mtu kaua kenyewe katahoji kuwa kwani mkimshitaki ndio huyo marehemu atarudi?
7. Havijui tofauti za kijinsia,umri, hata race vinajua kila binadamu ni sawa ndio maana vingi miaka hii ni visagaji,vishoga,havina adabu anaweza ingia mzee wa miaka 80,mjamzito hata mgonjwa kwenye daladala akasimama pembeni yake na kisipishe siti kinamuangalia bila aibu kinakausha na wala hakifeel shida yoyote. Tazama namna vinavaa nguo vinaweza vaa flana usijue ni ya kike au ya kiume. Vibinti vinavaa jeans za kiume,raba za kiume, buti za kiume, havijui hata tofauti ukiviambia kuna nguo za kiume na za kike kinakushangaa. Havijui hata vifungo vya shati ya kike na kiume hutofautiana upande, sehemu ya zipu ya kiume na kike ni tofauti havijui, kola ya shati na flana ya kike na kiume ni tofauti havijui. Vinaweza kuwa na rafiki shoga vikakushangaa wewe unaeona yeye kuwa na rafiki shoga ni hatari na kitakuuliza kwani ameua au amevunja sheria gani? Kinaweza kutana na mtu aliyezaliwa 1979 chenyewe kimezaliwa labda 1998 au 2007 halafu bila aibu kikamwambia “nambie bro” au “niaje sister”. Adabu ni zero.
8. Hivi vitoto ukikaa navyo nyumba moja vinapenda kujitenga havipendi ile family time ya kukaa sebuleni au chini ya mti na wanafamilia waliowazidi umri aidha vitakwenda chumbani na kuanzisha mjumuiko wao huko na vinaweza kushinda huko ndani hata mwezi mzima bila kwenda popote na kama kapo kamoja then havioni shida kukaa ndani siku nzima pekee yao bila kujichanganya na wanafamilia waliowazidi umri kidogo. Na ukivilazimisha kujichanganya mfano ukasema njooni huku sebuleni wewe vitazame usoni,vinakuwa na mawenge kama muuza madawa ya kulevya kituo cha polisi vinakuwa havina amani na vinaweweseka sana yaani kikijikaza ni dakika 20 baada ya hapo kataomba au vitaomba udhuru kuwa kanaijiskia kichwa kinauma au kana usingizi ili kaende chumbani kakaendelee na ushirikina wake wa gen Z. Havipendi kuchangamana hata kidogo.
9. Hivi vitoto havipendi maswala ya Imani au dini. Vinaamini MUNGU ni kitu cha nadharia na hayupo na kama yupo basi vyenyewe havihusiki nae ndio maana havijui kuwa kuna kitu kinachoitwa dhambi duniani. Kuna kipindi nilivisikia eti vinasema kwani shetani alimkosea nini MUNGU hadi asisamehewe kwani yeye MUNGU hakoseagi hadi ana mind wenzake hivyo. Imagine vinataka kumsuluhisha MUNGU na shetani vipumbavu hivi vitoto vya hovyo hivi.
10. Vinaishi bila target za kiumri yaani havijui huu ni umri wa foolish age, huu umri wa utu uzima niwe serious na mipango ya maisha, huu umri wa kuanza familia, huu ni umri wa uzazi havijui. Ushingae kamepata mtoto ila kesho kanavaa pedo na top kanapost tiktok “Mama Navine in one and two”. Unakuta ni ka’baba ka watoto wa tatu na wanawake tofati watatu ila kananyoa kiduku, kanavaa suruali za kuchanika tena mlegezo,vinaishi kisela na mkewe mara yupo ukweni kwa wazazi kila siku,watoto wanalelewa zaidi na bibi zao mama na baba mtu wanakwepa majukumu wapo busy na kupuyanga na mambo ya hovyo tu.
11. Havipendi kazi, majukumu wala kuwajibika aviheshimu mikataba wala sheria na taratibu za ajira. Kanaweza anza kazi leo, kaka haribu kwa uzembe ukikaweka kikao kukapa malekezo na kukaonya kesho katarudia tena upuuzi ule ule halafu kanakushangaa wewe una mind nini wakati ni issue ya kupotezea maana kama kuzingua ameshazingua sasa ukimind ndio tatizo litafutika. Na huwa havichelewe kuacha kazi bila taarifa wala notification. Nakumbuka kuna kamoja nilikuwa nafanya nako kazi, hakajaja siku 3 nakapigia kananiambia “aah me niliitwa interview Dodoma,nimeshapata kazi” imagine una handle vipi hii situation yaani hakajakabidhi kazi kanakwambia baada ya wewe kukacheki na hakana hata wasi wasi wala aibu. Nakwambia hivi vitoto ni vipuuzi hivi na havina akili sawa sawa.
12. Kwa hivi vitoto usije ukakosea ukawa mshenga utakuja jutia. Imagine mnakwenda lipia posa kwa binti mnapigiwa simu kuambiwa mkachukue majibu dogo unakuta amekuadd kwenye group lingine la harusi yake. Kumbe alizunguka akaenda tafuta washenga wapya akaenda toa posa kwengine na huko ameenda fasta fasta anaoa. Aibu yake na kule ulishajicommit. Au kanampa mimba mtoto wenu wa kike kanapotea hamkajui na vinaishi kwa kificho ila siku vikigombana kanakuja kugonga hodi kuja kusuluhisha ugomvi sebuleni kwako kama mkwe. Sasa unajiuliza huyu kijana ana akili sawa sawa, yaani anakuja kuitisha kesi kwenye sebule yangu, ametia mimba binti yangu hajawahi jitokeza leo miaka miwili baadae from nowhere anakuja kulalamika binti yangu kuwa na mahusiano, sasa anakuja nilalamikia mimi kama nani yake tena kwa kujiamini kabisa.
Kuna mengi ya hovyo kuhusu hivi vitoto vipuuzi sijui wazazi walikosea wapi hadi vikawa hivi. Sijui ni maji au ni huu ugali wa unga wa sembe na mboga moja tunaokula kila siku, au ni majani ya "Chaibora" au pengine shida ni chanjo za ndui tulizochoma miaka hiyo au pengine ni hali ya hewa kwakweli haieleweki ila hivi vitoto ni
funga kazi ya uhovyo wa karne kwenye kizazi chetu.