Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,772
26Nov wengi sana watahama hii nchi kwa jinsi ninavyomfahamu Sisqo.
Novemba mbali
26Nov wengi sana watahama hii nchi kwa jinsi ninavyomfahamu Sisqo.
Moja ya kunusuru nchi katka machafuko ni kudhibiti habari za uchochezi kama hz, mnaoshabikia ukawa sidhani kama mnaona mbele au mnawaza uchaguzi tuu, yaani mtu anagawa fedha namna hii hadharani na mnashangilia akishika dola nani atakohoa? Maana kuburi mmempa wenyewe, na mtakoma watanzania msipokuwa makini katka hili.
Wakuu nlikua naangalia taarifa ya habari dk kadhaa zilizopita kabla ya saa 2 usiku, walikua wanaonyesha taarifa ya kumtangaza Lowassa huko mwanza cha ajabu MWANZO MWISHO WAMEONYESHA MEZA KUU TU mpaka wamemaliza inamana hakukua na wananchi kwenye huo mkusanyiko?
Daah kwa staili hii ntabak ITV na AZAM TWO tu, kuhusu kuangalia taarifa za habari! Huko kwngne labda burudani2 nahis ndo wanaloweza!!!
hata mimi nilikerwa sana tuliacha wote bombe ta mimi nilWakuu nlikua naangalia taarifa ya habari dk kadhaa zilizopita kabla ya saa 2 usiku, walikua wanaonyesha taarifa ya kumtangaza Lowassa huko mwanza cha ajabu MWANZO MWISHO WAMEONYESHA MEZA KUU TU mpaka wamemaliza inamana hakukua na wananchi kwenye huo mkusanyiko?
Daah kwa staili hii ntabak ITV na AZAM TWO tu, kuhusu kuangalia taarifa za habari! Huko kwngne labda burudani2 nahis ndo wanaloweza!!!
Mimi nimekataza familia na ukoo kuangalia clouds tv kingamuzi na weka code kwenye hiyo chanel wanauliza nini namwambia hiyo ni ya ngono sio nzur
Wakuu nlikua naangalia taarifa ya habari dk kadhaa zilizopita kabla ya saa 2 usiku, walikua wanaonyesha taarifa ya kumtangaza Lowassa huko mwanza cha ajabu MWANZO MWISHO WAMEONYESHA MEZA KUU TU mpaka wamemaliza inamana hakukua na wananchi kwenye huo mkusanyiko?
Daah kwa staili hii ntabak ITV na AZAM TWO tu, kuhusu kuangalia taarifa za habari! Huko kwngne labda burudani2 nahis ndo wanaloweza!!!
Duh! Hii ya Tanzania ni Kali Sana, hapa inaonesha upofu wa fikra kwa mliowengi ndani ya Jf. Iweje kila lifanywalo kwenu baya? TBC ni ccm sababu hawajatangaza kile utakacho wewe kusikia, Clouds ishanunuliwa na unashawishi wapofu wenzio wasusie ili hali wewe unatazama na ndio maana malalamiko yako ya kipuuzi unaleta hapa, na sasa mnahamia ITV nao wabovu kisha habari unayoitaka wewe inasomwa mwishoni. Hivi ni kweli mnamtizamo chanya na mabadiliko mnayo hubiri ikiwa wewe hutaki kubadirika?
Mi nadhani mabadiliko yaanzie kwangu na kwako ili kuleta ukombozi wa kweli na sio kutafuta mchawi, na kumchukia kila mtu, kitu kwa upumbavu wetu.
Angalizo:
Nchi ni ya kidemokrasia, na kila MTU, Ana itikadi yake na huko huru kufanya akitakacho kisichopingana na sheria za nchi. Hivyo kutaka kila MTU, au taasisi kua na itikadi moja ni ufinyu wa Mawazo na fikra zitakazo kumgandamiza mtanzania halisi.
Mimi simuelewi mtu anayeangalia tv tofauti na Azam na ITV
ITV hawana woga ila kwa habari kubwa kama hiyo ambayo wanajua watu wengi wanaiguatilia huwa wanaweka mwishoni mwa habari za kitaifa ili watu waaangalie na nyingine ambazo huwa wanaziweka mwanzoni. Ukiweka hiyo ya mafuriko mwazoni watu wakishamaliza kuingalia tu wanaacha kuangalia nyingine hivyo ni kama ka mtindo ka kuwaongezea hamu ya kusubiri wakati wakisubiri habari kuu. Hizo za makufuli wanaweza kuziweka mwanzoni kwakuwa watu hawazifuatilii sanaDkk ya 21 juu ya saa 2... ITV hawajasema chochote kuhusu mafuriko ya Mwanza.... waoga.... wasaka tonge tu hawa wote... jamani chadema tv... tupeni akaunti tuchangue kama hamna hela...