Leo ndo nimeamini cLouds tv ni ya chama

Leo ndo nimeamini cLouds tv ni ya chama

Hata kwenye radio ya cloud hivyohivyo we sikiliza uchambuzi wa magazeti ndio utajua hawa wako upande gani. Sijui kama tena watachaguliwa kuwa kituo bora tena
 
Dkk ya 21 juu ya saa 2... ITV hawajasema chochote kuhusu mafuriko ya Mwanza.... waoga.... wasaka tonge tu hawa wote... jamani chadema tv... tupeni akaunti tuchangue kama hamna hela...

ITV wameonyesha imekuwa ya mwisho ila mungu yupo upande wetu
 
26Nov wengi sana watahama hii nchi kwa jinsi ninavyomfahamu Sisqo.
 
kuna hujuma katika utoaji wa taarifa za ukawa. wakuu hivi ni kweli anton dialo kahamia chadema?
 
Ukweli ni kwamba ITV awajiamini tena..... Uoga gani huo, vinasomwa vi abari vyooote alafu ile yenyewe eti inakua ya mwisho..... Mi kesho wakiendelea ivyo nitakua siangalii tena abari zao. Bora nibaki hapa jf tu.
Mbona abari za ccm wanasoma, au wao ndo wana haki kuliko....aaaaaa
 
Channel ten nao sijui waligombana na Lowasa

Mkuu mimi mbona nimeangalia habari ya chanel ten wameonyesha vizuri tu jinsi Lowasa alivyopokelewa Mwanza,kuanzia kwenye bara bara wananchi walivyompoka kwa wingi hadi uwanja wa Furahisha.
 
Itv wameanza kubadilika wanaweka habari ya ukawa mwishoni na wanavyoonyesha si kwa ubora tunaoujua wa ltv daa lkn Mungu yupo.
 
Daaah sa kama wataweza kununua mengi na said salim wataweza pia!
 
Daaah sa kama wataweza kumnunua MENGI na SAID SALIM wataweza pia!
 
Moja ya kunusuru nchi katka machafuko ni kudhibiti habari za uchochezi kama hz, mnaoshabikia ukawa sidhani kama mnaona mbele au mnawaza uchaguzi tuu, yaani mtu anagawa fedha namna hii hadharani na mnashangilia akishika dola nani atakohoa? Maana kuburi mmempa wenyewe, na mtakoma watanzania msipokuwa makini katka hili.
 
Moja ya kunusuru nchi katka machafuko ni kudhibiti habari za uchochezi kama hz, mnaoshabikia ukawa sidhani kama mnaona mbele au mnawaza uchaguzi tuu, yaani mtu anagawa fedha namna hii hadharani na mnashangilia akishika dola nani atakohoa? Maana kuburi mmempa wenyewe, na mtakoma watanzania msipokuwa makini katka hili.

Hivi Kuna watu wana akili za aina hii bado katika nchi ya watu wasakao mabadilko?

Sasa nimeamini watu wengine kwa mitazamo yao tu na fikra zao tu Ni utarii tosha!

Hebu watu wa mambo ya utarii njooni mumkamate huyu jamaa anafaa kuwekwa katika

Makumbusho ili wazungu waje kuona binadamu wenye frikra ngumu kwenda na wakati kama huyu
Mtu.

Hivi kwa akili ya kawaida tu huyu Lowasa Ana hela kiasi gani

za kununua maelfu ya watu katika kila mkoa?

Mbona mi nilienda kwa nauli yangu chakula changu
hivi nilininuliwa eeh?
 
Hao cloud machizi Wote kama kibonde simpendi année lowassa achukue nchi atahama
 
Back
Top Bottom