Leo ndo nimeamini cLouds tv ni ya chama

Leo ndo nimeamini cLouds tv ni ya chama

Damy Scotty

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
717
Reaction score
454
Wakuu nlikua naangalia taarifa ya habari dk kadhaa zilizopita kabla ya saa 2 usiku, walikua wanaonyesha taarifa ya kumtangaza Lowassa huko mwanza cha ajabu MWANZO MWISHO WAMEONYESHA MEZA KUU TU mpaka wamemaliza inamana hakukua na wananchi kwenye huo mkusanyiko?

Daah kwa staili hii ntabak ITV na AZAM TWO tu, kuhusu kuangalia taarifa za habari! Huko kwngne labda burudani2 nahis ndo wanaloweza!!!
 
Yaan leo ndio nimeangalia clouds kw bht mbaya, ndo nkakutana na hbr hiyo ya Ukawa mwanza, nkaamua kuangalia tu, lkn walivyoipiga, hadi mtangazaji kajistukia,
sio Mbaya LOWASA NDIO RAIS awamu ya 5
 
Unashangaa ...kwani hao akina Ruge si wanashinda magogoni wanapiga disko kila weekend....
madili yao ya sembe unadhani wanapangiwa wapi ?? !!

Daah kweli mkuu nachek AZAM TWO wanarusha bila kufchafcha ImageUploadedByJamiiForums1439744882.442659.jpg
 
Yaan leo ndio nimeangalia clouds kw bht mbaya, ndo nkakutana na hbr hiyo ya Ukawa mwanza, nkaamua kuangalia tu, lkn walivyoipiga, hadi mtangazaji kajistukia,
sio Mbaya LOWASA NDIO RAIS awamu ya 5

Daaah kumbe na ww mkuu umeicheki'ee hatari sana..#workEthics hakuna
 
Dkk ya 21 juu ya saa 2... ITV hawajasema chochote kuhusu mafuriko ya Mwanza.... waoga.... wasaka tonge tu hawa wote... jamani chadema tv... tupeni akaunti tuchangue kama hamna hela...
 
Clouds Channel ten Tbccm,Star tv hizo zote CCM TU hakuna kubalance story,hata ITV imeanza kubadirika taratibu imebaki Azam two,nina wasiwasi ikifika wakati wa campaign huenda habari za UKAWA tusipate na bahati mbaya UKAWA haina tv yake
 
hv clouds kuna taarifa ya habari au masimulizi au ngonjera ? mm nashangaa sana hawa jamaa miez kama miwili iliyopita walikuwa hawakubaliani na sheria ya habari mpaka wakatuma watu bungeni wawashawish wabunge kuikataa leo hao hao ndo wanaipigia debe ccm ? wakumbuke kuwa kuanzia mwaka 1995 mpaka 2010 ilikuwa ni kuwaaminisha dunia ya kuwa tanzania 2nafanya uchaguz na democrasia ya vyama vng hipo bt mwaka huu ndo uchanguz kama uchaguz hupo na yeyote anaweza kupita sasa wasije kulilia chooni na wahuni wanaowafuga pale
 
  • Thanks
Reactions: KGM
Back
Top Bottom