Ni swala la muda tu kilakitu kitaonekana waziKelele nyiiingi lakin
Bado sports extra itabak kua juu juu zaid
Chunga tu usije pakatwa mtoto wa kiume kushoboka na mali ya mwanaume mwenzio hatari sana Clouds inajulikana ya nani Wasafi,Efm,East Africa na nyengine nyingi sioni hapo watu wa Simba na Yanga wanaingiaje!Yanga mjue ni Radio ya watu was Mikia hiyo. Kitenge kafuata pesa na asilaumiwe kwa hilo.
Ushazoea kukazwa eti. Tuliza kinyeo hicho.Chunga tu usije pakatwa mtoto wa kiume kushoboka na mali ya mwanaume mwenzio hatari sana Clouds inajulikana ya nani Wasafi,Efm,East Africa na nyengine nyingi sioni hapo watu wa Simba na Yanga wanaingiaje!
Sports extra inazidiwa na hadi sports HQ.saiz homa ya jiji inazidi kupandaa hatari sana.Kelele nyiiingi lakin
Bado sports extra itabak kua juu juu zaid
Bado hawajatangaza tareheWasafi festival Dar lini???
Sports hq ile ya visingeli!!!!!???..acha utani jamaaSports extra inazidiwa na hadi sports HQ.saiz homa ya jiji inazidi kupandaa hatari sana.
Hiyohiyo tatizo sio visingeli.Tatizo ni conte t.Wakijadili jambo huwa kuna hoja nzito na linachambuliwa kweli.Sports hq ile ya visingeli!!!!!???..acha utani jamaa
Tawileeeee!Ushazoea kukazwa eti. Tuliza kinyeo hicho.