Leo ndiyo uzinduzi mkubwa wa kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM chini ya CEO Diamond Platnumz ambapo mgeni rasmi atakuwa ni Waziri wa Habari Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe, lakini pia kitahudhuriwa na mastaa wa Bongo, wadau wa michezo na wadau wa habari na makampuni mbalimbali.