Leo ndiyo uzinduzi wa kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,506
18,802
Leo ndiyo uzinduzi mkubwa wa kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM chini ya CEO Diamond Platnumz ambapo mgeni rasmi atakuwa ni Waziri wa Habari Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe, lakini pia kitahudhuriwa na mastaa wa Bongo, wadau wa michezo na wadau wa habari na makampuni mbalimbali.
 
Nawasikiliza hapa. Japo wasafi FM haisikiki vizuri hapa nilipo. Yaani Dar bado kuna maeneo haisikiki vizuri.
 
Yanga mjue ni Radio ya watu was Mikia hiyo. Kitenge kafuata pesa na asilaumiwe kwa hilo.
Chunga tu usije pakatwa mtoto wa kiume kushoboka na mali ya mwanaume mwenzio hatari sana Clouds inajulikana ya nani Wasafi,Efm,East Africa na nyengine nyingi sioni hapo watu wa Simba na Yanga wanaingiaje!
 
Chunga tu usije pakatwa mtoto wa kiume kushoboka na mali ya mwanaume mwenzio hatari sana Clouds inajulikana ya nani Wasafi,Efm,East Africa na nyengine nyingi sioni hapo watu wa Simba na Yanga wanaingiaje!
Ushazoea kukazwa eti. Tuliza kinyeo hicho.
 
Wasafi wangemchukua na Osca Osca mzee wa Kaliua swaiba wa Kitenge!
 
wadau kwa hyo maulid na eddo rasm wasafi? Kama ndvyo basi efm watashek lazm, kuja kupata replacement kwa haraka aseee itawagalim, naona na hando atakuwa njiani.... nawaza tu kwa sauti
 
Ila Mond so powaaa

Kauwa mpinzani wake Allikiba

Sasa kaamia na Clouds ebhana na wao soon watasambaratika
 
Sports hq ile ya visingeli!!!!!???..acha utani jamaa
Hiyohiyo tatizo sio visingeli.Tatizo ni conte t.Wakijadili jambo huwa kuna hoja nzito na linachambuliwa kweli.
Kile ni kipindi cha michezo na burudani.Efm ndo kisima cha burudani.
Sports extra hawadadavui mambo.wao ni ripoti tu kwa saana.Lakin Hq wanadadavua vizuri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom