Leo nawapa ukweli wote

Leo nawapa ukweli wote

Hapa Tanzania.
Narudia tena, hapa Tanzania kijana jitahidi kupambania familia yako (wewe mwenyewe, mke/mume na watoto) basi. Mengine achana nayo maana hutayaweza.
Kama unaingia kwenye siasa ingia kwa ajili ya familia yako tu, kama unaingia kwenye utumishi wa umma the same, kama unaingia kwenye soka the same, kama unaingia kwenye biashara the same.
Focus on your family only.
Nchi ambayo neno "CONNECTION" maana yake si Dili la pesa, scholarship, biashara wala ajira.
connection maana yake picha za ngono. Unadhani kuna jipya hapo?
UKishakuwa chawa lazima ubongo ucheze
 
La mama yako shamba linachafua visitation vya maji.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom