Leo nawapa ukweli wote

Leo nawapa ukweli wote

Ndo akili za members wa kigenge cha Samuya hizi. No wonder samuya awamu yake katengeneza mindset za kipumbavu sana.
 
Hapa Tanzania.
Narudia tena, hapa Tanzania kijana jitahidi kupambania familia yako (wewe mwenyewe, mke/mume na watoto) basi. Mengine achana nayo maana hutayaweza.
Kama unaingia kwenye siasa ingia kwa ajili ya familia yako tu, kama unaingia kwenye utumishi wa umma the same, kama unaingia kwenye soka the same, kama unaingia kwenye biashara the same.
Focus on your family only.
Nchi ambayo neno "CONNECTION" maana yake si Dili la pesa, scholarship, biashara wala ajira.
connection maana yake picha za ngono. Unadhani kuna jipya hapo?
Kwamba nchi muachiwe wewe na Samia mjilie kiulaini? Nchi sio Mali yenu. Wacha watu waipambanie.
 
Narudia tena, hapa Tanzania kijana jitahidi kupambania familia yako (wewe mwenyewe, mke/mume na watoto) basi. Mengine achana nayo maana hutayaweza.

Sifa ya maenedeleo ya jamii ni kuanza kwa kuendelea binafsi, kisha nguvu hiyo kuipeleka kwenye jamii...

Jamii haitaweza kuendelea kama watu wake wakiwa wabinafsi...
 
Mkuu' umekumbwa na nini? Vipi uzalendo nao hautakiwi?
 
Hapa Tanzania.
Narudia tena, hapa Tanzania kijana jitahidi kupambania familia yako (wewe mwenyewe, mke/mume na watoto) basi. Mengine achana nayo maana hutayaweza.
Kama unaingia kwenye siasa ingia kwa ajili ya familia yako tu, kama unaingia kwenye utumishi wa umma the same, kama unaingia kwenye soka the same, kama unaingia kwenye biashara the same.
Focus on your family only.
Nchi ambayo neno "CONNECTION" maana yake si Dili la pesa, scholarship, biashara wala ajira.
connection maana yake picha za ngono. Unadhani kuna jipya hapo?
Hii Nchi siyo ya mama Ako K*ma wewe Kila mwananchi anayohaki ya kuilinda Nchi dhidi ya majangili wenzako
 
Siasa za bongo zimeharibu akili za vijana. Sifa kuu za viongozi wa taifa hili ni uchawa, kujipendekeza, tamaa, rushwa, ubinafsi... Unategemea Nini?
 
Back
Top Bottom