Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Dak. 42 Simba 2-1 Azam.
Sifahamu Mkuu, nipe shule. Likija suala la kujifunza huwa sina haya. Nifundishe Mkuu. Dak. 38 Simba 2-1 Azam.
bhale na makoye matale e azamu3 min added.
Yupo kwenye benchi la ufundi pale taifa.Wap ndetichia??
Hahahaaah!! Kama kweli vile aisee..Ule msemo wa kwamba "Ipo siku kila mtu atashabikia Simba" unaelekea kutimia, pole pole wale wa upande wa pili wanashangilia Simba leo, wamebaki wachache tu waliahidiwa ice cream.
Yupo kwenye benchi la ufundi pale taifa.
Ule msemo wa kwamba "Ipo siku kila mtu atashabikia Simba" unaelekea kutimia, pole pole wale wa upande wa pili wanashangilia Simba leo, wamebaki wachache tu waliahidiwa ice cream.
Mpira haujaisha lakini, kibao kinaweza kugeuka...Nilijua tu Simba lazima ashinde leo
Si kila anayekushangilia anakupenda! Leo imedhihirika kuwa Azam hana mashabiki. Simba wako na timu yao, Yanga wana interest na matokeo mabaya ya Azam.
Hahahaah! Una kesi ya kujibu akija humu.Naona shuzi limepata mjambaji
Yupo kwenye benchi la ufundi pale taifa.
Si kila anayekushangilia anakupenda! Leo imedhihirika kuwa Azam hana mashabiki. Simba wako na timu yao, Yanga wana interest na matokeo mabaya ya Azam.
mida hiyo atakuwa anafuatilia pale etihad.ntamwona apa jamvini sa12
Hakuna sehemu nimeandika habari ya kuipenda Simba nilichoandika ni kuishangilia na ndo kinachofanyika leo.