Leo National Stadium: Simba SC vs Azam FC

Leo National Stadium: Simba SC vs Azam FC

Taratibu okwi anaanza kusahaulika.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu kulikuwa na vita moja iliwahi kutokea wakati wa mechi moja hivi huko maeneo ya Tarime,ngumi zikaanza kupigwa,sasa kilichofanyika pale kwenye uwanja washabiki wakawa wanaamiana Yawa makuru jogi ng'ato ka ng'ato,wakaugiuru ng'ato gi ng'ato,ebwana kicahpo kilitembezwa mwisho wa siku jamaa wakshinda hiyo vita,sasa kilichofanyika baada ya hapo kila mechi ilikuwa ikienda kuchezwa kwenye uwanja huo inakuwa NG'ato gi ng'ato,maana yake ni kukaba mtu na mtu hakuna kuachia awe na mpira asiwe nao ni ng'ato gi ng'ato.

Asante sana Mkuu.
 
Mliopo uwanjani kipindi cha pili hakijaanza?
 
Back
Top Bottom