Leo National Stadium: Simba SC vs Azam FC

Leo National Stadium: Simba SC vs Azam FC

Dak. 70 Matokeo ni yale yale, huenda matokeo yakabaki hivi hivi hadi mwisho.
 
Refa maliza mpira tunataka tuangalie wa Mancity na Chelsea.
 
bado inshu zao za kucheza kiwifi wifi zinaendelea hamna lolote hao,tena bora waishie droo ili Yanga tuzidi kunemeka:msela:
 
Full time: Simba 2-2 Azam.

Simba karahisisha kazi ya Yanga. Tunahitaji point 5 tu kutangaza ubingwa.
 
Back
Top Bottom