Leo National Stadium: Simba SC vs Azam FC

Leo National Stadium: Simba SC vs Azam FC

Kwa kuwa Lunyasi hatuna undugu na Yanga. Acha leo tumbebe mwanetu Azam achungulie ubingwa. Kipre leo tunakuruhusu utupie kama hauna akili nzuri. Msimbazi hatutaki ubingwa wala nafasi ya pili.

Mkuu weka mambo sawa: siyo kwamba hamtaki nafasi ya 2 bali hamna uwezo na nafasi hiyo, mkifungwa hata nafasi ya 3 shakani. Toeni sare mfaidike wote.
 
kikosi cha mnyama leo
1. Dhaira
2. Chollo
3. Miraji
4.mussa mude
5. Kapombe
6. Galas
7. Chanongo
8. Dullah seseme(mario Gotze)
9. Messi
10. Ngassa
11. Kiemba
sub: kaseja , kazimoto, sunzu, khatib , edo, rashid, rama
 
Azam kikosi
1. Mwadini
2. Himid mao
3. Waziri salum
4. Mwantika
5. Kakolaki
6. Atudo
7. Balou
8. Sure boy
9. John bocco
10. Tcheche
11. Mieno
Sub: aishi , mwaipopo, umony , babi, mcha, jabil aziz
 
Kwa mara ya kwanza leo matokeo yeyote ya Mnyama (afungwe/ashinde) kwangu poa tu
 
Kwa mara ya kwanza leo matokeo yeyote ya Mnyama (afungwe/ashinde) kwangu poa tu

Sisi tumebaki tunajikumbushia clip kama hizi.


maana msimu huu hatuna la maana sana.
 
Last edited by a moderator:
wakuu tupeni update ndugu wanavyoona.
 
wakuu tupeni update ndugu wanavyooana.!
 
Mashabiki wa Yanga naona leo wameungana na sisi kuiadabisha Azam, wanashangilia goli kama wanaMsimbazi vile, mlioko uwanjani hebu tujuzeni kama mashabiki wa Yanga wametinga Nyekundu na Nyeupe.
 
Dak. 15 Singano, Simba 1-0 Azam. Jukwaa la Yanga limelipuka kwa mara ya kwanza katika historia, wanaishangilia Simba.
 
Back
Top Bottom