Acha masikhara wewe.Azam 3 Simba 2
Yanga kabakiwa na mechi ngapi?Gem 1 ijayo tukishinda yanga bingwa
Tehe tehe eeh! Ila wamewasaidia kimtindo.Hawa simba wanafanza nini?
Azam 2 Azam 2 FT
Yanga kabakiwa na mechi ngapi?
Tehe tehe eeh! Ila wamewasaidia kimtindo.
Gem 1 ijayo tukishinda yanga bingwa
Kweli wametusaidia ndo maana leo mashabiki wa Yanga walikuwa wanaishangilia Simba
Yanga na Simba siyo maadui ni WATANI. Mashabiki, viongozi na wachezaji wote wa Simba wameridhia kuwa ni afadhali kombe liende Yanga kuliko kwenda Azam, timu iliyoituhumu Simba kutoa mulungula bila ya kuwa na ushahidi. Asanteni sana Simba kwa ushirikiano bora.

anamechi3