Leo National Stadium: Simba SC vs Azam FC

Safi sana simba lakini inauma sana mtani anachukua ubingwa kiulaini.
 
Simba yuko kituo cha Polisi akisaidia Uchunguzi ili Yanga achukue ubingwa mapema. Hii leo hakuna urafiki kati ya Simba na Azam. Kocha Azam red card.
 
Duh...! Ila azam inaonekana kama watachomoa vile.
 
Back
Top Bottom