Leo National Stadium: Simba SC vs Azam FC

Leo National Stadium: Simba SC vs Azam FC

Huenda tukashuhudia mechi nzuri sana leo. Leo hakuna uwifi kwenye mechi hii labda Simba aachie ili kuongeza mgogoro wao na Maharage. Azam wana lengo moja tu la kupata pointi tatu ili kuuchuchumilia ubingwa, kitendo cha Azam kufungwa au sare ni kusaidia Yanga kutangaza ubingwa mapema. Kwa hali hii, leo ni man to man, mnhu na mnhu na ng'ato gi ng'ato.

Mkuu Makoye Matale hii ng'ato gi ng'ato nani kakufundisha?! kwa sababu hii ni wachache sana wanaoijua!
 
kikosi cha mnyama leo
1. Dhaira
2. Chollo
3. Miraji
4.mussa mude
5. Kapombe
6. Galas
7. Chanongo
8. Dullah seseme(mario Gotze)
9. Messi
10. Ngassa
11. Kiemba
sub: kaseja , kazimoto, sunzu, khatib , edo, rashid, rama

Kwa kikosi hiki Simba leo analambwa na kuliwa!
 
Mambo kama yataisha hivi hawa jamaa wa Lambalamba hawachelewi kuwafungia kina Kakolaki na Mwantika.
 
Back
Top Bottom