TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
luckson kakolaki ndio kaharibu sherehe mpaka basi..
Pole kwa droo mtani
luckson kakolaki ndio kaharibu sherehe mpaka basi..
luckson kakolaki ndio kaharibu sherehe mpaka basi..
Kumbe upo mkuu? Sio mbaya mkuu nafasi yenu mlioizoea mmefanikiwa kuitetea.
Pole kwa droo mtani
anamechi3
Mkuu ndomyana leka owotongolo
Yanga amebakiza mechi 4 ambazo zidi ya Mgambo JKT,Ruvu JKT,Coast Union na wakalia LIBOLO FC(Simba)
hapo akishinda mbili tu tayari katangaza ubingwa:msela:
Mkuu ndomyana leka owotongolo
Yanga amebakiza mechi 4 ambazo zidi ya Mgambo JKT,Ruvu JKT,Coast Union na wakalia LIBOLO FC(Simba)
hapo akishinda mbili tu tayari katangaza ubingwa:msela:
sema hii gemu azam walikuwa wanataka droo ingekuwa wanatafuta ushindi yule balou kipre sijui wangembebea mbeleko gani.. sio mbaya..
Kwa nini muhitaji droo wakati mpo kwenye mbio za kusaka ubingwa? Funguka mkuu.
Baada ya jana kushuudia mchezo na Yanga kuibuka na ushindi mnono wa goli 3 - 0 dhidi ya Oljoro JKT,leo tena jioni tutashuhudia mtu na wifi wakimenyana kinafiki uwanja wa Taifa
mara nyingi sana mechi ya Simba na Azam huwa inapoteza radha kabisa kutokana na kucheza kiwifi wifi:msela: