sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Mar 9, 2012 #121 Kongosho said: tunaweza endelea tu ila ujue sasa hivi siku zao zishaanza tena. Afu mzunguko mreefu, 364. Click to expand... Haki sawa iko wapi hapa? Sie siku 1 tu, wao 364!!! Umeamkaje kongosho!
Kongosho said: tunaweza endelea tu ila ujue sasa hivi siku zao zishaanza tena. Afu mzunguko mreefu, 364. Click to expand... Haki sawa iko wapi hapa? Sie siku 1 tu, wao 364!!! Umeamkaje kongosho!
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Mar 9, 2012 #122 sweetlady said: Lol, itakuwa wamelifananisha na mzizi wa dawa gani? Salam nilizipata na nilizijibu pia!.. Click to expand... Morning SweetLady
sweetlady said: Lol, itakuwa wamelifananisha na mzizi wa dawa gani? Salam nilizipata na nilizijibu pia!.. Click to expand... Morning SweetLady
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Mar 9, 2012 #123 Erickb52 said: Morning SweetLady Click to expand... Morning too Erickb52, how are you?
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Mar 9, 2012 #124 sweetlady said: Morning too Erickb52, how are you? Click to expand... Cool. Wifi yako Kaby hajambo?
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Mar 9, 2012 #125 Erickb52 said: Cool. Wifi yako Kaby hajambo? Click to expand... Atakuwa hajambo, sijaonana nae so sina uhakika. Hajambo Amyner?
Erickb52 said: Cool. Wifi yako Kaby hajambo? Click to expand... Atakuwa hajambo, sijaonana nae so sina uhakika. Hajambo Amyner?
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Mar 9, 2012 #126 sweetlady said: Atakuwa hajambo, sijaonana nae so sina uhakika. Hajambo Amyner? Click to expand... Ok sawa...Amy sijaonana nae pia ila natumai hajambo kabisa na muda si mrefu atakuwa hapa jukwaani.
sweetlady said: Atakuwa hajambo, sijaonana nae so sina uhakika. Hajambo Amyner? Click to expand... Ok sawa...Amy sijaonana nae pia ila natumai hajambo kabisa na muda si mrefu atakuwa hapa jukwaani.
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Mar 9, 2012 #127 Erickb52 said: Ok sawa...Amy sijaonana nae pia ila natumai hajambo kabisa na muda si mrefu atakuwa hapa jukwaani. Click to expand... Ok! Nasikia arusha mvua inanyesha sana, ukija kutupokea jpili usisahau kutubebea miamvuli!
Erickb52 said: Ok sawa...Amy sijaonana nae pia ila natumai hajambo kabisa na muda si mrefu atakuwa hapa jukwaani. Click to expand... Ok! Nasikia arusha mvua inanyesha sana, ukija kutupokea jpili usisahau kutubebea miamvuli!
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Mar 9, 2012 Thread starter #128 nimeamka wima kusini mashariki kulikuwa na pepo za msimu. Magharibi mwa pua kuna mvua za rasharasha na chafya za hapa na pale. Maeneo mengine yalikuwa shwari kabisa. Kwa ujumla mie mzima. sweetlady said: Haki sawa iko wapi hapa? Sie siku 1 tu, wao 364!!! Umeamkaje kongosho! Click to expand...
nimeamka wima kusini mashariki kulikuwa na pepo za msimu. Magharibi mwa pua kuna mvua za rasharasha na chafya za hapa na pale. Maeneo mengine yalikuwa shwari kabisa. Kwa ujumla mie mzima. sweetlady said: Haki sawa iko wapi hapa? Sie siku 1 tu, wao 364!!! Umeamkaje kongosho! Click to expand...
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Mar 9, 2012 #129 Kongosho said: nimeamka wima kusini mashariki kulikuwa na pepo za msimu. Magharibi mwa pua kuna mvua za rasharasha na chafya za hapa na pale. Maeneo mengine yalikuwa shwari kabisa. Kwa ujumla mie mzima. Click to expand... Tehe! Ubarikiwe!
Kongosho said: nimeamka wima kusini mashariki kulikuwa na pepo za msimu. Magharibi mwa pua kuna mvua za rasharasha na chafya za hapa na pale. Maeneo mengine yalikuwa shwari kabisa. Kwa ujumla mie mzima. Click to expand... Tehe! Ubarikiwe!