Leo nataka wababa . . .

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,175
Habarini za jioni,

Leo nataka wababa, tukae tupige story laini laini, si za kuumizana migongo, vichwa wala moyo.

Kama mjuavyo, leo akina mama si siku yao.
Uzunguni, labda wamepelekwa dinner, uswahili wamekusanyika mikekani na familia zao wababa included.

Kwa hiyo, akina baba karibuni tuchape stori wakati tukisubiri muda wa kulala.

Angalizo: hapa story tu, kula kwenu. Ila madafu yapo bure!
 
athante...AFTER-PARTY wapi?
 
Mambo Nitty,

SL kakumwaga nini?
Mbona umeadimika kama miguu ya nyoka?
Kuwa mbishi kama ndimu, ndoa na mastaa mzigo wa miiba.

Siku yako leo unaisherekeaje konnie, hujambo lakini
 
Bora Preta umekuja, kama unahela kidogo, kanunue basi hata mbege kwa mama masawe.
Angalau wakiwa wengi tuwape japo kulainisha koo.

yah, wababa mje hapa tupige story.....
 
Hii siku ya leo ni ya kupiga stori na wababa kiurafiki zaidi.
Katika mazingira ya relaxed zaidi.
Ili waweze kutoa na duku duku zao za kila siku kimadongo/kiumbea, sio ki siriazi

pia waweze sema yale wapendayo toka kwa wamama

kwa kiizungu nataka tuongelee 'everything and nothing'

habari ya wewe unaionaje siku hii ya leo konnie..
 
Bora Preta umekuja, kama unahela kidogo, kanunue basi hata mbege kwa mama masawe.
Angalau wakiwa wengi tuwape japo kulainisha koo.

mmmh konnie.....hawa watu tuwape supu ya jiwe.....mbege watatufilisi....watataka wanywe drum zima....supu lita 5 wote chali ndani ya dk 2....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom