Habarini za jioni,
Leo nataka wababa, tukae tupige story laini laini, si za kuumizana migongo, vichwa wala moyo.
Kama mjuavyo, leo akina mama si siku yao.
Uzunguni, labda wamepelekwa dinner, uswahili wamekusanyika mikekani na familia zao wababa included.
Kwa hiyo, akina baba karibuni tuchape stori wakati tukisubiri muda wa kulala.
Angalizo: hapa story tu, kula kwenu. Ila madafu yapo bure!
Orait, ngoja niende zero pub! Wababa nehi hapa sio?yah, wababa mje hapa tupige story.....
habari ya wewe unaionaje siku hii ya leo konnie..
Orait, ngoja niende zero pub! Wababa nehi hapa sio?
Umesema kuna mbege?brigita hujambo?
Hapa tunataka wababa bana, unataka kwenda wapi tena?
preta kafuata mbege.
Orait, ngoja niende zero pub! Wababa nehi hapa sio?
Bora Preta umekuja, kama unahela kidogo, kanunue basi hata mbege kwa mama masawe.
Angalau wakiwa wengi tuwape japo kulainisha koo.
Mambo Nitty,
SL kakumwaga nini?
Mbona umeadimika kama miguu ya nyoka?
Kuwa mbishi kama ndimu, ndoa na mastaa mzigo wa miiba.
Umesema kuna mbege?
Basi naja... Ngoja kwanza nivae msuli!
Apo chacha ndo umenena.............After party, vijana kuna mnanda hapo nje.
Wakubwa streiti kitandani wawili wawili wa tofauti tofauti.
Namaanisha kila mtu kwao.
kama msuli kavu kavu, hakikisha umejinyonga na kamba ya kudu kuepusha msongo sijui msongamano?