Leo mko wapi? Been missing you all

nashukuru kwa kunikumbuka,leo nilikuwa busy kidogo,mzima lakini?
 
Siku iliyopita haikuwa njema sana kwangu ila na mshukuru Manani,usijali kiongozi tupo pamoja sana mshana jr na wengine wote
 
Last edited by a moderator:
Jamani kwa hiyo mie haujanimiss si ndio eeeeh???

Very very sorry Honey Faith you know how special you are to me naweza nisikumention but in my heart you are among my best friends n you know how much I adore you
 
Last edited by a moderator:
Mshana jr, una ubaguzi sana aisee, naandamana kuanzia sa hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…