umeniacha shoga naona 2.6 hata sielewi , majibu yakwapi sasa? na karatasi ya kutick naitoa wapi?we nipe majibu tuOhooooo sasa sio mchezo kubeti hvyooo ebu ona hapo chungulia kidogo upate mwangazaView attachment 834682View attachment 834683
nina kilo 62 sasa sijui ni kibonge auHahaha kama wew nikibonge basi huu mchezo unakufanya kimbaumbau ndani ya miez miwili
Sio kazi rahisi heri ungekua karibu then Leo hakuna timu nzuri za kubet labda kesho au kesho kutwaumeniacha shoga naona 2.6 hata sielewi , majibu yakwapi sasa? na karatasi ya kutick naitoa wapi?we nipe majibu tu
hawa jamaa wameshaacha ujinga wao siku za weekend? mi nliwakimbia maana ilikua kila weekend server zo znaznguaOhooooo sasa sio mchezo kubeti hvyooo ebu ona hapo chungulia kidogo upate mwangazaView attachment 834682View attachment 834683
Meridian au m bet?hawa jamaa wameshaacha ujinga wao siku za weekend? mi nliwakimbia maana ilikua kila weekend server zo znazngua
aisee jitahidi uongeze maana normal health man kw wastani anatakiwa kuwa na kilo 70nina kilo 62 sasa sijui ni kibonge au
meridianMeridian au m bet?
Zinazinguaga ila tunakomaa nao tu......wepesi ni hao m bet meridian kuna unafuu kwenye kubetmeridian
Aiseee mbona niko sawa tu na ni mzito kiasi jamani yaani niko sawa kabisa na ukiniona huwezi kusema mi mwembamba wala kinene yaani size kabisa na kuna wengine wana kilo za chini zaidi yangu yaani nkifika hizo kilo 70 maana yake mimi ni bonge nitavimbiana shingo mashavuaisee jitahidi uongeze maana normal health man kw wastani anatakiwa kuwa na kilo 70
dah meridin waliwahi kunisumbua sana aisee na servers zao nikawasusa kabisa il nikimiss options zao basi katikati ya wiki km hivi ndo natia makinikia yangu ya weekend then naprint kabisa kwe pc yangu ili weekend nifatilie mech zangu maana kulogin ni shida, nmehmi premier bet na 1xbet mana huku hamna kodi ukila kitu unachukua nzimanzimaZinazinguaga ila tunakomaa nao tu......wepesi ni hao m bet meridian kuna unafuu kwenye kubet
Hey. Madame na wewe huwa unatumia hivi vitu eeh, ngoja nami nijifunze aki nipige pesaaHaya mambo haya Everton juzi wamenikosesha kitita kwa sare yao ile........sikulala kuifikiria buku yangu na uzembe wa Everton dah
Dah! kweli vyuma vimekaza!!!Haya mambo haya Everton juzi wamenikosesha kitita kwa sare yao ile........sikulala kuifikiria buku yangu na uzembe wa Everton dah
Heeee,kumbeWanaoliwa ni wengi kuliko wanaokula
hahahaaa, ila watraalamu wa afya ndio average yao hio kwa mwanaume but sio issue sanaAiseee mbona niko sawa tu na ni mzito kiasi jamani yaani niko sawa kabisa na ukiniona huwezi kusema mi mwembamba wala kinene yaani size kabisa na kuna wengine wana kilo za chini zaidi yangu yaani nkifika hizo kilo 70 maana yake mimi ni bonge nitavimbiana shingo mashavu
Khaaaaaa premier bet nimeshindwa kujiunga ......ila meridian bet kwenye kudeposit hela unakatwa mpunga mrefu jaman ....kudeposit buku eti unalimwa sh mia mbili dahdah meridin waliwahi kunisumbua sana aisee na servers zao nikawasusa kabisa il nikimiss options zao basi katikati ya wiki km hivi ndo natia makinikia yangu ya weekend then naprint kabisa kwe pc yangu ili weekend nifatilie mech zangu maana kulogin ni shida, nmehmi premier bet na 1xbet mana huku hamna kodi ukila kitu unachukua nzimanzima
Khaaa nabet ....kuweka buku kula elfu kumi ishirini na kuendelea huoni kama ni faida hiyo???Dah! kweli vyuma vimekaza!!!
Leo nimekusoma bana kuhusu mikeka kumbe na wewe huwa unacheza!!!
Mimi ni mwanamke jamani ila nimecheka sana maana haya mambo wanaongeleaga wanauume vyuma vimekaza sasa mpaka wamama tunajichanganya matokeo yake ndo kama hayahahahaaa, ila watraalamu wa afya ndio average yao hio kwa mwanaume but sio issue sana
Nabet sana .....unaweza liwa buku Mara nne siku ukitusua unalipia zile ulizoliwa na hela ya kwenda kula bata inabakiaHey. Madame na wewe huwa unatumia hivi vitu eeh, ngoja nami nijifunze aki nipige pesaa
Wapo lkn nao wanaliwa tuAhaaa hivi hakuna mganga wa kubet?