Leo kwa maajabu nimelata followers 500 kwa mkupuo instagram

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
20,072
26,114
Leo kitendo cha kuwafollow celebrities mbali mbali nimeshangaa nimepata friend requests zisizopungua 500 na mpaka sasa naendelea kupokea friends requests

Jamani wajuzi wa haya mambo ebu njoeni mnijuze kulikoni?

Tena cha ajabu zaidi walionitumia friends requests wana followers zaidi ya laki moja wengine mpaka 1m +
 
K

Kuna MTU alishawahi niambia ukifollow macelebrity was kibongo wrote lazma followers waongezeke..kusema kweli sijui what's behind it sababu so mtumiaji was insta sana
 
Ndo kilichotokea kwangu mkuu

Leo nimeamua kuwafata celebrities nimeshangaa napokea friends requests za kutosha
 
Back
Top Bottom