Wasomi, wabishi, wajuaji wa kila jambo Niki wa pili na Wakazi wapambana juu ya umuhimu wa instagram kwa Wasanii na sanaa

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,211
42,072
Wasalaam
Wasanii wasomi kuliko wote,wanajua kila jambo, wataalam, na wanamuziki mahiri Wakazi na Nikki 11 leo wameingia kwenye mjadala kuhusu umuhimu wa instagram kwa sanaa na wasanii na kila mtu akivutia kwake ...

TOKA TWITTER

NICK WA PILI: Sasa hivi ukimwibia msanii gari haumrudishi nyuma kama ukimwibia account yake ya insta au youtube channeli yake, leo hii tunapozungumza ulinzi wa kazi za msanii inatubidi pia kuongeza hivyo vitu nakutafuta kama kuna weza kuwa na namna ya kuboresha usalama wa kuzilinda

‏WAKAZI: Mzee unaongelea "wasanii wa bongofleva na kiki" au wapi hao?! A big chunk of artists hawapo (or in inactive) Instagram na wanaishi. How can Instagram be the most valuable wakati, you can't share active links, can't monetize it, can't post artistic works without restrictions

NICK WA PILI: Wasanii ambao hawako hiyo ni shida yao, what u mean u can't monetize? Au kuweka link na kazi ya sanaa???

WAKAZI: Instagram is just an app kama tu twitter, Facebook, etc. Sio user friendly kwa consumer wa msanii, maana kwenye interface links sio "live" mpaka umpeleke kwenye BIO. You can't monetize it. It's as clear as it sounds. You can't make money directly kwa views, likes & followers

NICK WA PILI: Labda niseme wewe ongeza followers tu, insta u can make allot kuliko hizo platforms nyingine u can make hatakama huna wimbo wala albums

WAKAZI: Nikki I'm sure I'm way more social media savvy than you. And in fact I made my name on these platforms. Insta haikuingizii hela kiivyo directly. Ndio maana ya you can't monetize it.

NICK WA PILI: Labda wewe au kwako , na sijui monetize kwako ina maana gani YouTube wanalipa kupitia matangazo inta unapata matangazo yako binafsi husubiri kua na wimbo

WAKAZI: Matangazo ya Instagram sio sustainable kiasi cha kuita account is monetized. Na jinsi ulivyoiweka it's as if kila msanii anapata hayo matangazo. And that's coming from me, ambaye I have actually been paid as an influencer by various companies.

NICK WA PILI: Hakuna mahali kila mtu anapata inategemea na thamani, brand positioning, influence nakadhalika hata album kuna watakao uza copy 100 na watakao uza 100, 000

WAKAZI: Ila mkuu ile statement yako imekaa kama vile bila Insta wasanii wengi wataadhirika. Kimuonekana ndio, wengi, ila sio kiuchumi (na cha pili ndio muhimu zaidi). Badala ya ku-generalize bora ungesema "Mimi nitateseka bila insta, maana inanitoa kimasomaso..."
 
Wakazi mbishi Instagram ni moja kati ya platform nzuri ya msanii kujitangaza na kupiga hela,kwani ni moja ya platform inayokuwa kwa kasi sana ,kama hawa Kadashian family na Christian Ronaldo (CR7) wanatumia sana kutangaza bidhaa zao na wanaingiza fedha kwa kila tangazo watakalopost,hata Lebrown na wachezaji kibao wa NBA page yake huwaga anapost viatu vyao.

DECkpWwXcAAw_h1.jpg

View attachment 1011437View attachment 1011437
The thing is "Nick ameonekana hana nguvu ya hoja na hayupo smart kama watu wanavyofikiria.."

Amesoma mambo ya socialogy nadhani so, ajifunze business kiasi na si lazma ukae darasani.. Wakazi kiasi flani alikuwa on point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikki ni much know sana ". Ila kwenye hili niko katika upande wake .... insta inasaidia sana msanii na kumtangaza msanii katika soko la ndani na kimataifa leo hii kama msanii ame m-follow let say p.didy ni rahisi didy kuweza kuona jitihada za kazi za msanii huyo na kuweza kumtambua ... msanii huyo anaweza kuitumia management yake waka wasiliana na didy ili aweze kuangalia namna ambavyo anavyo weza kumvusha msanii huyo na kumpeleka katika level za Kimataifa ...itakuwa ni rahisi kwa didy kuweza kutoa msaada kwa sababu movement za msanii huyo si anazijua .....

Kama sijawahau tulishawahi kuona snoop dog akiwa ame post video clip ya ney wa mitego ' ijapo kuwa snoop alikuwa ameipost tu baada ya kufurahishwa na kile kilicho kuwa kimefanyika kwenye ile video lakini kama ney angelikuwa na management nzuri yenye jicho linalo lenga soko la kumfikisha ney kimataifa nadhani ule ulikuwa ni mwanzo mzuri kwa wao kuanzia na hatimae kuweza kufika huko

Tusisahau pia DON JAZZ nayeye pia aliwahi kuipost nyimbo ya chura ya snura ... kama snura angechangamkia ile fursa na yeye pia angekuwa mbali mnoo kwa sasa .-----

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Insta ni mtandao wa kibabe sana, umenifanya nisahau kuhusu fb. Hata kwa wasio mastaa, wenye ushawishi wa kuvuta followers wanapiga hela kupitia insta, just jaribu kuingia insta pitia page ya dada mmoja inaitwa Carrymastory, hakosi hela ya kula kutokana na matangazo anayoyapata, na watu wanamfuatilia kwa ajili ya umbeaumbea tu, huo ni mfano tu, wapo wengi wanapiga hela kupitia page za namna hiyo

aiseee
 
Nikki ni much know sana ". Ila kwenye hili niko katika upande wake .... insta inasaidia sana msanii na kumtangaza msanii katika soko la ndani na kimataifa leo hii kama msanii ame m-follow let say p.didy ni rahisi didy kuweza kuona jitihada za kazi za msanii huyo na kuweza kumtambua ... msanii huyo anaweza kuitumia management yake waka wasiliana na didy ili aweze kuangalia namna ambavyo anavyo weza kumvusha msanii huyo na kumpeleka katika level za Kimataifa ...itakuwa ni rahisi kwa didy kuweza kutoa msaada kwa sababu movement za msanii huyo si anazijua .....

Kama sijawahau tulishawahi kuona snoop dog akiwa ame post video clip ya ney wa mitego ' ijapo kuwa snoop alikuwa ameipost tu baada ya kufurahishwa na kile kilicho kuwa kimefanyika kwenye ile video lakini kama ney angelikuwa na management nzuri yenye jicho linalo lenga soko la kumfikisha ney kimataifa nadhani ule ulikuwa ni mwanzo mzuri kwa wao kuanzia na hatimae kuweza kufika huko

Tusisahau pia DON JAZZ nayeye pia aliwahi kuipost nyimbo ya chura ya snura ... kama snura angechangamkia ile fursa na yeye pia angekuwa mbali mnoo kwa sasa .-----

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi kwenye hili nakubaliana na Nick sema wote wamekutana wajuaji na wapenda ligi na wanapenda kushindana
 
The thing is "Nick ameonekana hana nguvu ya hoja na hayupo smart kama watu wanavyofikiria.."

Amesoma mambo ya socialogy nadhani so, ajifunze business kiasi na si lazma ukae darasani.. Wakazi kiasi flani alikuwa on point

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kwenye hili NICK yuko right
 
insta ni hela tupu zimejaa ukiwa mjanja....bila instagram nisingekuwa viti virefu mida hii
 
Nimeanza kumkubali wakazi kwa hoja. Niki ni PhD candidate lakini ameshindwa kutetea kihoja kitu chenye mashiko. Yaani wakazi anamfanya anavyotaka.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom