Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Mwenyenzi Mungu yupo na anajibu dua zetu.leo nimepata habari njema sana katika maisha yangu, i can wait to sleep in my new bed with new dreams! i wish my mr right angekuwepo hapa leo.
Kwa wale mnaopigana na maisha msikate tamaa hakuna ajuae kesho, leo ni yako Kesho ni ya Mungu. Alhamdulillah
Kwa wale mnaopigana na maisha msikate tamaa hakuna ajuae kesho, leo ni yako Kesho ni ya Mungu. Alhamdulillah