Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,403
- 465,266
ni kweli Mungu ni kila kitu na anajibu maombia hachelewi wala hawai lkn lazma akujibuasante sana ila sifa zote ni kwa Mwenyezi Mungu
ni kweli Mungu ni kila kitu na anajibu maombia hachelewi wala hawai lkn lazma akujibuasante sana ila sifa zote ni kwa Mwenyezi Mungu
kweli mamy nilifika mahali nikajiona sina bahati kumbe MUNGU AMENIPANGIA MAKUBWAni kweli Mungu ni kila kitu na anajibu maombia hachelewi wala hawai lkn lazma akujibu
kinachotakiwa usikate tamaa unapoomba ndo kama ivyo yaliyokutokea diakweli mamy nilifika mahali nikajiona sina bahati kumbe MUNGU AMENIPANGIA MAKUBWA
ipo siku amini queenHongera natamani hii siku na mimi
Daah yaani hapa napata tabu kweli,sijui nianzie wapi,maana hiyo pozi ni one million dollar,natamani ningekuwa hapo karibu nisikie marashi.hongera sana Miss ungefunguka zaidi ili tujue bana
mapambazuko yapo usijaliNigawie basi hizo neema, mie kwangu bado jua limepatwa
uanzie wapi nini kwani we ndio Miss NatafutaDaah yaani hapa napata tabu kweli,sijui nianzie wapi,maana hiyo pozi ni one million dollar,natamani ningekuwa hapo karibu nisikie marashi.
Mimi Karanja bhana,mara hii nimekuwa miss Natafuta?,mimi nakutafuta kwa udi na uvumba mrembo,itabidi nikuendee kwa Manyaunyau.uanzie wapi nini kwani we ndio Miss Natafuta
unajua ww sio mzima wallah hii thread ya Miss Natafuta kwahyo nimeshangaa ulivyoongea vileMimi Karanja bhana,mara hii nimekuwa miss Natafuta?,mimi nakutafuta kwa udi na uvumba mrembo,itabidi nikuendee kwa Manyaunyau.
Daah matusi tena,haya basi nimekoma bibie.unajua ww sio mzima wallah hii thread ya Miss Natafuta kwahyo nimeshangaa ulivyoongea vile
ameen mkuu
nani unamjibu nadhani nimembock smuoniuanzie wapi nini kwani we ndio Miss Natafuta
sijakutukana lkn samahani kama umekwazikaDaah matusi tena,haya basi nimekoma bibie.
itakua hivyo anajibu yy yaannani unamjibu nadhani nimembock smuoni