Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
- Thread starter
- #41
kesho turudi zetu kwenye umbea jamaniitakua hivyo anajibu yy yaan
kesho turudi zetu kwenye umbea jamaniitakua hivyo anajibu yy yaan
Mbona nimeshapost shoga nimechekajee KP kumwambia mange amegoogle mikono [emoji28][emoji28]kesho turudi zetu kwenye umbea jamani
Sawa mamii,umeshinda na nimekusamehe,ila kuna kiumbe humu anajidai eti kani-block atiii basi asijidanganye,na wala sina mpango na sura ya chapati ilioungua.sijakutukana lkn samahani kama umekwazika
Alafu wew!Hongera kwa kuchongesha kitanda kipya...
Hoooongeraawala soma uelewe mkuu
Ndo mana basi nashangaa unajibu wwSawa mamii,umeshinda na nimekusamehe,ila kuna kiumbe humu anajidai eti kani-block atiii basi asijidanganye,na wala sina mpango na sura ya chapati ilioungua.
nenda kwa mange insta kimenuka tenani kweli Mungu ni kila kitu na anajibu maombia hachelewi wala hawai lkn lazma akujibu
That is the concept we have gotten from your story... Yaani tumeelewa kuliko uwezo wetu wa kawaida....mmenichekesha sana nyie wadau
asante mkuu
Nimeona si baada ya kuambiwa amegoogle ndo anawaonyesha babu [emoji28]yaan uyu ni mwehunenda kwa mange insta kimenuka tena
Baby... Miss Natafuta ana kitanda kipya cha chuma, utanichongeshea lini cha kwangu na mie niwakiwe angalau na Mbalamwezi.. Maana mwenzangu keshawakiwa na jua.Alafu wew!
Labda nikufafanulie kwa ufupi,mimi niliandika kukwambia natamani ningekuwa karibu yako kwa urembo uliojaaliwa,i mean you are cute,lakini wewe ukaanza kunirushia maneno kuhusu Miss Natafuta,mimi sikuwa na lolote kuhusu Natafuta,nilikulenga wewe na kukupa sifa lakini ukasema mimi sio mzima,sawa inawezekana ulielewa vibaya,hata hivyo nakuja kuona mtu mwingine anajitapa eti kani-block mazafanta,mimi Karanja sio mbwiga anavyofikiria,angenjiua kiuhalisia asinge hata waza alichokiwaza fanculo.Ndo mana basi nashangaa unajibu ww
Jamii Forum ni social media ambayo ni burudani kwa namna fulani,lakini inafika wakati watu tunaanza kuchafua hali ya hewa kimtindo,anyway let amani itawale.Ndo mana basi nashangaa unajibu ww
wewe karanja nilichoshangaa mm nachat na miss natafuta na ww umetokea ndo mana nikashangaa nimeshaelewa kumbe nyie hamuonanLabda nikufafanulie kwa ufupi,mimi niliandika kukwambia natamani ningekuwa karibu yako kwa urembo uliojaaliwa,i mean you are cute,lakini wewe ukaanza kunirushia maneno kuhusu Miss Natafuta,mimi sikuwa na lolote kuhusu Natafuta,nilikulenga wewe na kukupa sifa lakini ukasema mimi sio mzima,sawa inawezekana ulielewa vibaya,hata hivyo nakuja kuona mtu mwingine anajitapa eti kani-block mazafanta,mimi Karanja sio mbwiga anavyofikiria,angenjiua kiuhalisia asinge hata waza alichokiwaza fanculo.
Nahukuru kama umenielewa,ubarikiwe.wewe karanja nilichoshangaa mm nachat na miss natafuta na ww umetokea ndo mana nikashangaa nimeshaelewa kumbe nyie hamuonan
AmeenNahukuru kama umenielewa,ubarikiwe.
I can't wait to sleep in my New Bed.....wala soma uelewe mkuu
Umeota umenunua kitanda? Utapata tuuMwenyenzi Mungu yupo na anajibu dua zetu.leo nimepata habari njema sana katika maisha yangu, i can wait to sleep in my new bed with new dreams! i wish my mr right angekuwepo hapa leo.
Kwa wale mnaopigana na maisha msikate tamaa hakuna ajuae kesho, leo ni yako Kesho ni ya Mungu. Alhamdulillah