Leo hapa mbona sio hot hot mmefulia??

si lazima kuandika kama hakuna hoja. hamtasahaulika mkikaa kimya

kwani wewe una matatizo gani...sie tuko kwenye kwarezima Kingi ..hatuna tatizo na mtu
amani ya bwana ikae nawe sasa na hata milele
 
Ndugu yangu kuna mada nyingi kweli humu zimetulia kwa nini usiende huko ukatuachia hii yetu ambayo haijatulia?

Thanx Ng'wanza Madaso kuna watu huwa wanapenda kujiuzi wenyewe na kuishi bila furaha wakati maisha yenyewe haya loh ..leo upo kesho ya mwenzako
 
Ha hahaha ,

Hapa tuko faragha tunatafakari uamuzi tutakaochukua,tunaweza chukua uamuzi mgumu kama wa Fred mpendazoe.....
icon7.gif
icon7.gif
Hapa umenena........vikao viiiiiiiiiingiiiiiiiiiii!!! muda wa kwenda MAELEZO bado kidogo
 
naunyemelea umod, ila kiukweli mada zingine hazijatulia

Funny enough umeganda tu hapo,ope hujashikiwa gun mkuu hapo ulipo...kuna jukwaa la Siasa kule kuna hadithi ya CCJ , CCM na Mpendazoe,au kwenye jukwaa la Biashara...

Wacha tujirushe sie
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom