Leo hapa mbona sio hot hot mmefulia??

spare my head from headaches please B

au ndo unanifukuza kwenye sred kijanja!!??
sikufukuzi, nakukaribisha laboratory ya chemistry huku......

Najaribu kutafuta hii formula inaitwaje vile?? anagalia nimeandika kwa penseli mbele yake....najua wewe ni chinua achebe!!! hahahaha

C14H9Cl5, Dichloro Diphenyl Trichloro Methane - DDT
 
hahaaaa yaani umeandika na chaki kwenye karatasi nyeupe na bado nimeona
yaani hayo mavitu siyapendi huwa nahisi kizunguzungu

Chinua Achebe, Ngugi wa Thiong'o, kile cha Kuli sijui nani aliandika.....ChONYA OF CHILONWA ME....hahaaaaa lol ila nimebase saana kwenye civics ndo fani yangu
structure ya mihimili ya dola naijua vizuri ndo nimespeshalize huko
 
hahahahaaaa! sheria ya ndoa na mabaraza ya usuluhishi je???

Me nebase kwenye ma-baroclinic instability, Euler equestion
Usiogope....ndio tabu ya kukimbia altare hiyo
 
signature yako tu inanivutia kwa kweli alafu umesema wachumba tupo kwani upo single?
 
hahahahaaaa! sheria ya ndoa na mabaraza ya usuluhishi je???

Me nebase kwenye ma-baroclinic instability, Euler equestion
Usiogope....ndio tabu ya kukimbia altare hiyo

aaaah hizo B ntaweza kweli, sheria zenyewe kwa kingreza (janga la kitaifa)

hahaaaa nimerukia kusoma kwenye bluu tu!! hatari sana ina madhara makubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom