Jana balozi Polepole alizungumza na vyombo vya habari vya ndani na kimataifa. Kati ya mengi aliyoyoyazungumzia, ni kupinga ukiukwaji wa katiba na taratibu za kumpata mgombea wa urais katika uchaguzi wa mwaka huukupitia chama chao.
Kichekesho ni kwamba serikali imezuia media zote zesitangaze na kuandika habari hii kubwa sana.
Wamesahau kuwa tuko enzi za kidigitali, habari zinapatikana mitandaoni, mpaka vijinini. Watu tumeacha kununua vjipeperushi vyao na kuangalia TV za ndani, tunanunua bundle la kutosha kila siku ili kuhabarika. Poleni wajinga msiojua dunia inavyokwenda