leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,436
- 17,396
Kweli,, hivi yule mkurugenzi wenu sijui wa nini yupo arusha???Unanikimbia au sio 😎
Nataka tumchune wine na sie tuzile hela za bakhressa.
Kweli,, hivi yule mkurugenzi wenu sijui wa nini yupo arusha???Unanikimbia au sio 😎
Umetonesha kidonda changu hapo uliposema bakhresa 😭Kweli,, hivi yule mkurugenzi wenu sijui wa nini yupo arusha???
Nataka tumchune wine na sie tuzile hela za bakhressa.
Am sorry am sorry.Umetonesha kidonda changu hapo uliposema bakhresa 😭
😂😂😂 Sema sahivi afadhali kaacha kuomba mlimkomesha atleast heshima yetu ya uanaume imerejeaHivi mnajua kwanini nilimuita Chiwawa?
Mambo ndo kama hayo 😹
Hata mkibaki wanaume wawili tu duniani, yeye na wewe, bora nikutunuku mpare wangu kuliko hiyo takataka.Msaidie mshikaji kama hajachukua maamuzi magumu 😎
Ww mchokozi sana, nia yako nikuombe afu uniharibie uvulana wangu, haya bhana mm nipo tayari, una mitego sana ww Dada haya naomba unipigie 😎Hata mkibaki wanaume wawili tu duniani, yeye na wewe, bora nikutunuku mpare wangu kuliko hiyo takataka.
Vipi lakini mzee anaendeleajeNacheka kwa comment zenu ✍️🤟🙏🤣🤣🤣😴
Father anaendelea poa...napambana nitafanya nini ndg anguVipi lakini mzee anaendeleaje
De gunnerMimi sio de gunner... Amini ninachokuambia
Unalazimisha kitu sichoDe gunner
Kama Kuna la ziada basi unapewa buku uuuh kwa vipi unashinda una bao zoa zoaUnalazimisha kitu sicho
Heshima kitu cha bure... Busara ifate mkondo wakeKama Kuna la ziada basi unapewa buku uuuh kwa vipi unashinda una bao zoa zoa
Mbamizwa Supapawa