Leo Dada, natamani tuwe marafiki wa kweli!

Leo Dada, natamani tuwe marafiki wa kweli!

Status
Not open for further replies.
Screenshot_20261001-234515~2.jpg
 
mambo yakienda yombo usije na makala za Kuwatweza hawa mabinti warembo wa jeiefu kama yule mwenzenu ombaomba aliyegeuka mbogo baada ya kila jaribio lake la kuomba nyapu hapa jukwaani Kufail.

Anyway leo dada msikilize kijana
😂 Maisha yana changamoto zake, lakini si kila jambo linahitaji kubezana au kumdhalilisha mtu. Kila mmoja ana safari yake na sababu zake. Mimi naamini heshima ni muhimu, hata pale tunapotofautiana. Leo tusikilize mawazo ya kijana kwa utulivu, huenda tukajifunza kitu kipya. Maisha ni kupita kwenye nyakati tofauti, leo kwangu, kesho kwa mwingine.
 
Mkuu ukiona hutaki tu-comment kapost chumbani kwako.

Nishindwe kupata greetings kwa watu wa maana sababu ya thread yako ya kuomba utelezi?
Mkuu, kama thread yangu haikupendezi, una uhuru wa kuipita bila ku-comment. Sikulazimishi kuisoma wala kuipenda. Kuhusu greetings zako, sijui zinahusianaje na thread yangu. Kila mtu ana uhuru wa kuandika anachotaka mradi havunji sheria za jukwaa. Tusitumie tofauti zetu za mawazo kuwashushia wengine heshima. Kama una hoja, leta hoja, siyo kujaribu kunidhalilisha kwa sababu ya nilichoandika. Jukwaa ni la wote, siyo lako pekee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom