Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,002
- 58,189
mme wake anapita pita kwenye hii thread kijana awe makiniš¤£Siku mme wake akikuinamisha utulie, sawa?

Mkuu, kwanza tuache vitisho na lugha za kutisha watu. Kama una hoja kuhusu thread yangu, iwasilishe kwa hoja na siyo kunitisha kwa majina ya watu, maeneo au madai ya uwezo wa kuua. Mimi sijaja hapa kugombana na mtu wala kuingilia ndoa ya mtu. Urafiki ni urafiki, na kama kuna jambo limekukwaza, unaweza kulieleza kwa ustaarabu. Usichanganye uhuru wa kutoa maoni na haki ya kutisha wengine. Mimi siogopi vitisho, lakini pia sina nia ya kuingia kwenye ugomvi usio na msingi. Heshima iwe pande zote, mkuu.
HahahaAsante kwa nia yako ya kutaka urafiki,,,
Urafiki ni kitu hutokea tu endapo mtaendana kitabia.
Karibu napenda marafiki wa staha, wenye utu, wanaojielewa na kuthamini binadamu wenzao, na zaidi mimi napenda pesa kunukia pesa hivyo ninapenda marafiki wenye pesa!.
Nakuomba pls!! kama unaweza kufuta huu uzi futa kwani binafsi sipendagi haya mambo ya kuanzishiwa uzi.
Mashallah šAsanteni wote mlioniita!
Na samahani wote mlioniita asanteni sana lakini sitajibu kwa sababu haya mambo mimi huwa sifagilii kabisa.
Mimi kwenye sister duu na udada duu nilishatoka huko kwa sasa niko zangu bar nai enjoy ushangazi wangu.
Upo Bar? Sawaš.Asanteni wote mlioniita!
Na samahani wote mlioniita asanteni sana lakini sitajibu kwa sababu haya mambo mimi huwa sifagilii kabisa.
Mimi kwenye sister duu na udada duu nilishatoka huko kwa sasa niko zangu bar nai enjoy ushangazi wangu.
Asante kwa kunielewesha, Leo Dada. Nimeheshimu maoni yako na samahani kama uzi wangu umekukwaza.Asante kwa nia yako ya kutaka urafiki,,,
Urafiki ni kitu hutokea tu endapo mtaendana kitabia.
Karibu napenda marafiki wa staha, wenye utu, wanaojielewa na kuthamini binadamu wenzao, na zaidi mimi napenda pesa kunukia pesa hivyo ninapenda marafiki wenye pesa!.
Nakuomba pls!! kama unaweza kufuta huu uzi futa kwani binafsi sipendagi haya mambo ya kuanzishiwa uzi.
JF Bhana...šš¤š¤š¤Kama kuna binti wa JF ambaye hajawahi kuanzishiwa uzi na hawa ma simp basi inabidi aanze kuogea chumvi ya mawe maana atakuwa na gundu.
Kijana wetu Ganna mpiga mizinga; who is next?
Duh š š š š¤šLeo dada husband is typi.....View attachment 3682994
karibuAsante kwa kunielewesha, Leo Dada. Nimeheshimu maoni yako na samahani kama uzi wangu umekukwaza.
Nia yangu ilikuwa ni kuanzisha urafiki wa kawaida tu, bila kuvuka mipaka.
Kuhusu uzi, nitazingatia ombi lako. Nakutakia kila la heri na mafanikio katika maisha yako. Heshima kwanza. š¤
Masikini Chiwawa anakula za uso kwa kila Mwanamke atakaye mfungulia uzi kwa kutumia Multiple ID's zake zote!Asante kwa nia yako ya kutaka urafiki,,,
Urafiki ni kitu hutokea tu endapo mtaendana kitabia.
Karibu napenda marafiki wa staha, wenye utu, wanaojielewa na kuthamini binadamu wenzao, na zaidi mimi napenda pesa kunukia pesa hivyo ninapenda marafiki wenye pesa!.
Nakuomba pls!! kama unaweza kufuta huu uzi futa kwani binafsi sipendagi haya mambo ya kuanzishiwa uzi.
Akirudi anaanza na modsMasikini Chiwawa anakula za uso kwa kila Mwanamke atakaye mfungulia uzi kwa kutumia Multiple ID's zake zote!
Subiri kesho aje na uzi wa kuwaponda wanawake wa JF.
cc ephen_ Seran Lamomy Red black binti kiziwi Binti wa zamani
Masikini Chiwawa anakula za uso kwa kila Mwanamke atakaye mfungulia uzi kwa kutumia Multiple ID's zake zote!
Subiri kesho aje na uzi wa kuwaponda wanawake wa JF.
cc ephen_ Seran Lamomy Red black binti kiziwi Binti wa zamani
Kaka The Icebreaker š¤£š¤£š¤£āļøš“Masikini Chiwawa anakula za uso kwa kila Mwanamke atakaye mfungulia uzi kwa kutumia Multiple ID's zake zote!