Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,914
- 100,000
Niambie Tresor
vzr kwa kuitikia wito,mambo yanaendajeNiambie Tresor
Mambo yako gud, sijui wewe bestvzr kwa kuitikia wito,mambo yanaendaje
mimi niko poa kabisa best, naperuzi na kudadisi hapaMambo yako gud, sijui wewe best
We peruzi tu!!!mimi niko poa kabisa best, naperuzi na kudadisi hapa
mie mbn nishakuomba sana au umesahau? we sema kama umemuelewa dogo ,ila mie maombi yako mezani kwako hapoWe peruzi tu!!!
watu wazima wenzangu hamnioni mpaka dogo kaamua kuomba urafiki public.
Me najua unatania mzee mwenzangu???mie mbn nishakuomba sana au umesahau? we sema kama umemuelewa dogo ,ila mie maombi yako mezani kwako hapo