masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,361
- 19,175
hahhhaHaiombwi hivyo 😁 (kidding)
acha hizo
hahhhaHaiombwi hivyo 😁 (kidding)
Kweli Tena 😁hahhha
acha hizo
Kwani nadanganya?Ebo! 😅
AsanteNawapenda hawa wawili leo dada na masai dada
Ni dada ambaye lazima apeane na like kwa kila post hapa JF.anaonekana n asiye na ubaya na yeyote.
Kama hajapita na like kwenye post yako itabidi......????
Mimi mbona hujanitaja?Ni ego tu zinazo watesa wadada wengi. Hasa Africa wengi wanaingia makebo. Wazungu hawanaga huo ujinga
Kuna huyo na huyu binti kiziwi hawa wote hawanaga baya kabisa ni watu poa sana
Siwezi kutaja mtu anayependa kunifanya niwe na stress muda woote. Vigezo unavyo ila inabidi uitupe hiyo ego yakoMimi mbona hujanitaja?
Huna akiliSiwezi kutaja mtu anayependa kunifanya niwe na stress muda woote. Vigezo unavyo ila inabidi uitupe hiyo ego yako
Si unaona majibu yako. Nani atakutaja sasa kwa tabia mbaya hii uliyonayoHuna akili