Lengo la vita ni nini?

Lengo la vita ni nini?

"chuma hunoa chuma"

lengo la vita ni kuonyeshana ubabe tu.Na hatimaye kupatikana mfalme wa kaya.
 
Vita(hasa visivyoepukika/vya lazima) vinatakiwa kutokea katika mazingira yafuatayo:-
1. Njia zingine za kutafuta amani zimeshindikana na madhara yanaendelea.
2. Idadi ya watakaokufa vitani isizidi ile ya waliokufa kabla.

Mengine waongezee wengine waongezee.
 
Vita ni matokea ya pande mbili zinazohitilafiana kukosa suluhisho ya jambo fulani wakati jambo hilo linahitaji suluhu
 
Hivi umadhani sehemu kama Congo, pale luna silaha yoyotw ya maana inatumika,ile vita ni vile vifaa vilivyokuwa outdated ndio vinatupwa pale,ndio maana inakuwa ya kuviziana.Hamna technology yoyote ya maana pale,iko kienyeji mno,ukianza na Maimai mpaka kule kwa Kagame,yaani imekaa kiusanii mno.
Wao wanachojali ni kuuza hata kama ni outdated weapon, halafu wanabeba madini ya DRC
 
Vita(hasa visivyoepukika/vya lazima) vinatakiwa kutokea katika mazingira yafuatayo:-
1. Njia zingine za kutafuta amani zimeshindikana na madhara yanaendelea.
2. Idadi ya watakaokufa vitani isizidi ile ya waliokufa kabla.

Mengine waongezee wengine waongezee.
Well said broo
 
Back
Top Bottom