Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,293
Vita vilianza zamani sana na lengo hasa lilikuwa nafikiri ni kujiongezea maeneo ya utawala.
Kuna aina nyingi za vita duniani kuna nchi kumfanyia ubabe tu mwenzie na kuanzisha mapambano.
Kuna baina ya serikali na waasi au magaidi.
Kuna wakati Albert Einstein alisema sijui vita vya III vya dunia vitakuwaje lakini naamini vita vya IV watu watapigana kwa Fimbo na mawe.