Lengo la Makonda kuvaa koti linalofanana na Jeshi ni lipi hasa?

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,399
4,988
20240515_095016.jpg

Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu.

Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile nivae tu au mimi siruhusiwi?

Je, Makonda kuvaa vile ana lengo gani au anataka kufikisha ujumbe gani kwa jamii.
 
Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu. Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi??? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile nivae tu au mimi siruhusiwi??.

Je, Makonda kuvaa vile ana lengo gani au anataka kufikisha ujumbe gani kwa jamii.
Tupia picha basi, kuna wengine hatukuona
 
Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu. Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi??? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile nivae tu au mimi siruhusiwi??.

Je, Makonda kuvaa vile ana lengo gani au anataka kufikisha ujumbe gani kwa jamii.
Labda kwanza unatakiwa ufahamu yeye ni Mkuu wa Mkoa ambaye ni mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa..
 
View attachment 2990561

Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu. Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile nivae tu au mimi siruhusiwi?

Je, Makonda kuvaa vile ana lengo gani au anataka kufikisha ujumbe gani kwa jamii.
Eti ccm ndo wanamtegemea baada ya samia 2030 ndo awe raisi. ndo Wana uhakika wa kulinda maufisadi yao, kwa akutumia udiktera kama wa mwendazake.
pia eti atawapatia kura nyingi kutoka ile Kanda

Hizo ni hesabu wanazopiga think tank wa ccm kuelekea 2030- by Magamba Matatu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom