Lembeli: Muhongo anaiangamiza CCM


Lembeli anamalizwa na maige anaepita kwa wapiga kura kuwaambia alichongewa na lembeli eti kaiba twiga, Maige anawauliza wananchi kuwa mnamfahamu twiga wanasema "ndio", unaweza kumswaga "hapana" sasa atamwibaje? wananchi wanaitikia hizo ni fitina.
 
Utaliwa kiboga bure na muhongo haendi popote. Tarehe 28.1.2015 anaenda marekani kutuwakilisha kwenye mambo ya madini kwa wiki moja.

Wewe tembea uchi tu uliwe tigo.

hajui kangamoko walishapigwa marufuku, ohoo asimlaumu kova akipigwa ya tako.
 
mimi namshauri yeye lembeli pamoja na nyarandu wajiuzuri wao ndio wana kashfa kubwa ya maliasili kinachojificha kuwahonga wapiga kelele mfano mchungaji msigwa
 
Maige unautumia ujinga wa wananchi wake kujenga hoja kutowezekana kwa kumswaga twiga. Wanashindwa kuelewa kuwa kumsafirisha twiga sio lazima umswage. Zipo mbinu nyingi ikiwemo kumpiga dawa ya usingizi, kumbebe kutumia vifaa maalum, kumpakia kwenye vyombo vya usafiri
Lembeli anamalizwa na maige anaepita kwa wapiga kura kuwaambia alichongewa na lembeli eti kaiba twiga, Maige anawauliza wananchi kuwa mnamfahamu twiga wanasema "ndio", unaweza kumswaga "hapana" sasa atamwibaje? wananchi wanaitikia hizo ni fitina.
 
Hata wakimwajibisha muhongo au yeye mwenyewe kujiuzuru bado haitoshi,inatakiwa wastakiwe na kufilisiwa mali zao zote
 

Jimboni kwa lembeli watu wanaishi na nyara za serikali "fisi" hata pinda alionyeshwa na hajachukua hatua yeyote basi nae aachie ngazi kamati ya maliasili kwa kushindwa kukemea watu wanaojichukulia nyara za serikali kinyume cha sheria. Isitoshe kijijini kwake kuna wacheza ngoma wa kutumia chatu "wagoyangi" na huwa wanacheza katika mikutano yake, hayo hayaoni ila anaona ya muhongo tu, aache unafiki, vijiji vingi jimboni kwake vimeenda chadema nako muhongo kahusika?
 
2015 ni peoplezzzzzz powerrr mtake mistake ccm imeshindwa kufanya ya wananchi wengi imefanya ya watu wachache wakiwemo mafisadi na walarushwa
 
Huyu lembeli mpuuzi.. fisadi na mla rushwa mkubwa aliyewekwa mfukoni na nyalandu na makaburu baada ya Tanapa na ikulu kumzuia kuuza hifadhi ya katavi yeye na kilaza mwenzake nyalandu kwa makaburu naona anaganga njaa kwa mengi kama kwenye ishu ya Richmond walivyomchafua lowasa na kna..sta..mwakyembe..ana kilango malechela...malechela..selelii na kundi lao la mitume lililokua linalipwa na mlalamishi na mkwepa kodi mengi sasa watanzania walishawashtukia huyu mwehu na wenzake kna nassari wanaganga njaa kwa mengi ...lema na kna yerko nyerere waganga njaa....muhongo ni jembe na mkombozi wa watanzania umeme unasambaa vijijini kwa kasi ya ajabu wakati sku zote Rea ilkuwepo na power afrca ila hatukuwahi kuona hii kasi kubwa hivi mengi ni mbnafsi anataka aendelee kufilisi watanzania huyu mwehu alishasema rais mwinyi amewapa wahindi nyumba posta kawanyma wazawa mwinyi akaagza mengi apewe nyumba mbili mengi huyohuyo akauza nyumba alizopewa kwa wahindi...stupid guy
 
Lembeli ana radio yake pale kahama...sikumbuki jina lakini ...FM, huwa anaitumia kujielezea na kuwaumbua wabaya wake kisiasa. Nadhani bado ana mahali pa kujishikiza.....akihamia chama chochote atashinda, lakini anaweza kuendeleza USHIBUDA kwenye vyama hivyo.
 
Ni wazi Muhongo na JK hawakukutana barabarani........ Mbona wanapendana hivi,Yani JK yupo radhi CCM ife lkn sio kumtoa Muhongo............mahaba ya dhati.
Wanaotaka ccm ife ni kna mengi wanaokwepa kodi na kudalalia vtalu vya madini si muhongo anayeboresha huduma za umeme vijijin kwa kasi
 
Ni wazi Muhongo na JK hawakukutana barabarani........ Mbona wanapendana hivi,Yani JK yupo radhi CCM ife lkn sio kumtoa Muhongo............mahaba ya dhati.

Wakuu
Tumeshuhudia na kuona watu waliopokea mabilioni mimi binafsi sikuona wala kusikia mgao ulipokelewa na Muhongo.
Je kuna mtu hapa jamvini anayeweza kutujuza kwa facts na siyo siasa.
 
Mwacheni Muhongo achape kazi.Lembeni akapumzike tangu amekuwa Mbunge amewafanyia nini watu wa Kahama?

Mengi Safari hii atafirisika kwa Kugawa Pesa sasa kaamua kuhamia kwa Limbeli baada ya kuona Mvuta Bangi Lema watu wamemshitukia, Wewe Regnal mengi mbona ndugu zako kule Moshi wengi ni masikini kwa nini usiwape hizo pesa wajikwamue? Mbona umemkomalia Muhongo hivi? Vitalu vya Gesi vimekutoa Utu !
 
Wakuu
Tumeshuhudia na kuona watu waliopokea mabilioni mimi binafsi sikuona wala kusikia mgao ulipokelewa na Muhongo.
Je kuna mtu hapa jamvini anayeweza kutujuza kwa facts na siyo siasa.

Vitalu vya Gesi na kukutisha Ulaji wa Mkono na Mengi, ndiyo vimezaa huu ubaya wote, mengi ametumia Mabilioni kumteketeza Muhongo huku akitumia vyombo vyake vya Habari kueneza chuki juu ya Muhongo.
 
Lembeli ni mbulula huyu mchumia tumbo njaa kali inamsumbua

Limbeli binafsi ni Mtu mwenye Roho mbaya sana, mbinafsi na Mwizi sana, hapa si kwamba ana Uchungu bali ameropoka ili kumfurahisha Boss wake Mengi ambaye amempatia pesa za Kampeni, njaa ni kitu kibaya sana.
 

Limbeli ni bonge la Kigeugeu na Mnafki Mkubwa, yupo kwa Ajili ya pesa tu hana Huruma na mtu na kama hakuna pesa anakugeuka, hata wewe Mengi mpe pesa zako wee lakini akija Mtu mwingine akampa pesa Limbeli atakugeuka, Limbeli hana msimamo ni mwendekeza njaa mkubwa.
 
Lembeli anamalizwa na maige anaepita kwa wapiga kura kuwaambia alichongewa na lembeli eti kaiba twiga, Maige anawauliza wananchi kuwa mnamfahamu twiga wanasema "ndio", unaweza kumswaga "hapana" sasa atamwibaje? wananchi wanaitikia hizo ni fitina.

Limbeli ana PHD ya Uzushi, Fitna na Majungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…