mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,656
Nachukia sana mapenzi ya chama kwenye keyboard,
Lets be real guys.
Lets be real guys.
- Yale yale kama upo kwenye chama hakina msimamo kama wako si utoke tu uende kule kwenye chama chenye msimamo kama wako, Rais Reagan alikuwa Democrat mpaka mwaka 1962 alipoona hawana msimamo kama wake akaingia Republican sasa hawa kwa nini wanapiga piga kelele ndani ya chama ambacho hakina msimamo kama wao watoke tu waone kama CCM itayumba!!
Le Mutuz
Ana hasira na nyalandu kumnyima ulaji.
CCM,pigachini hii bulukenge.
- Kaka NEC ndio Mkutano wa mwisho wa CCM wa kuamua msimamo wa CCM kama Lembeli hautaki ajiondoe mara moja kwenye chama ambachi hakikidhi mahitaji yake!1
Le Mutuz
[FONT=courier new said:
Mimi ndiye Lembeli na nitabakia kuwa hivyo, ndiyo maana nilikuwa nataka itumike kura ya siri ili kuhifadhi uhuru wa mawazo yetu. Nyerere alituambia kuwa wananchi wanataka mabadiliko na wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM, alisisitiza.
Lembeli aliwataka wajumbe wenzake kuacha woga wa kufungwa na misimamo ya vyama au makundi yao kwani hata Rais Jakaya Kikwete aliwahi kusema: Akili za kuambiwa changanya na zako [/FONT]
mimi binafsi namkubali sana huyu mzee ni mzalendo na kama wasukuma wote wangekuwa kama huyu mzee nchi ingekuwa na maendeleo makubwa sana kwa kweli[FONT=courier
new]JUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, James
Lembeli (CCM), amesema kuwa yuko tayari kufanyiwa lolote na chama chake
lakini kamwe hatatengua msimamo wake wa kudai Serikali ya Tanganyika.
Kauli hiyo nzito ya Lembeli, mmoja wa wabunge wa CCM wenye msimamo
mkali, ilipata kutolewa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere miaka ya 90 wakati akizungumza na waandishi wa habari, ambapo
chama hicho kilikuwa kikituhumiwa kwa rushwa na hivyo kupoteza mwelekeo.
Katika mazingira hayo, Mwalimu alisema kama chama hicho
kisipojirekebisha, anaweza kurudisha kadi yao, kwani CCM haikuwa mama
yake.
Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalumu huku akitumia maneno
hayo ya Mwalimu, Lembeli ambaye pia ni Mbunge wa Kahama alisema baadhi
ya wajumbe ni waoga na wanafiki kwa kuogopa kusimamia kile
wanachokiamini.
Historia haikarabatiwi, mimi naweza kufa au kuadhibiwa na chama changu
kutokana na msimamo huu lakini historia itaandikwa.
Pale Ikulu si kuna picha ya hayati Oscar Kambona, huyu si alifungwa kwa
makosa ya uhaini, mbona picha yake haikuondolewa katika viongozi wa
historia ya nchi hii? alihoji.
Lembeli alidai kuwa Watanzania wasubiri wamuone wakati wa mjadala wa
pamoja wa rasimu ya Katiba bungeni huku akitamba kuwa hatabadili msimamo
hata kama unakinzana na wenzake wa CCM.
Sina wa kumfurahisha zaidi ya wapiga kura wangu, hawa ndio wenye uwezo
wa kunishughulikia endapo nitaunga mkono jambo ambalo litakuwa kinyume
na wao.
Mimi ndiye Lembeli na nitabakia kuwa hivyo, ndiyo maana nilikuwa nataka
itumike kura ya siri ili kuhifadhi uhuru wa mawazo yetu. Nyerere
alituambia kuwa wananchi wanataka mabadiliko na wasipoyapata ndani ya
CCM watayatafuta nje ya CCM, alisisitiza.
Lembeli aliwataka wajumbe wenzake kuacha woga wa kufungwa na misimamo ya
vyama au makundi yao kwani hata Rais Jakaya Kikwete aliwahi kusema:
Akili za kuambiwa changanya na zako.[/FONT]
Chanzo: Tanzania Daima
Mwache huko huko ccm. Ni vyema akiendeleza hizo struggle akiwa ndani ya ccm. Huenda akawaamsha wale waliolala usingizi wa pono.Basi atoke huko alipo aje kwetu Chadema......
mimi binafsi namkubali sana huyu mzee ni mzalendo na kama wasukuma wote wangekuwa kama huyu mzee nchi ingekuwa na maendeleo makubwa sana kwa kweli
Wewe Baharia wa zamani Tanzania hii ya leo si ile ya kina Mzee wetu JSM.Kwa hiyo hata wana ccm(wenye akili tu) wanajua kwanini ccm inakomaa na kura za wazi.Hakuna hata chembe ya siri kwamba zikipigwa kura za siri hao wanaotaka kura za wazi watakuwa against msimamo wa chama chao ccm.Mtu kama Wasira hawezi kuthubutu kunena kama Lembeli coz anajua JK amemwokoa kutoka kwenye dhiki ya kutisha,lakini nakuhakikishia kama kura ni ya siri Wasira atakuwa against msimamo wa ccm wa serikali 2.Kwa bahati mbaya sana namjua huyo Wasira kuliko hata anavyojijua mwenyewe
- Kaka baba yako simjui ila one thing habari za kura ya siri na wazi sio ishu tena imeisha tuwe progressive tuongelee mapya ya kura za siri na wazi yamepitwa na wakati sasa!! na Kidumu chama cha mapinduzi
Le Mutuz
JUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, James Lembeli (CCM), amesema kuwa yuko tayari kufanyiwa lolote na chama chake lakini kamwe hatatengua msimamo wake wa kudai Serikali ya Tanganyika.
Kauli hiyo nzito ya Lembeli, mmoja wa wabunge wa CCM wenye msimamo mkali, ilipata kutolewa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere miaka ya 90 wakati akizungumza na waandishi wa habari, ambapo chama hicho kilikuwa kikituhumiwa kwa rushwa na hivyo kupoteza mwelekeo.
Katika mazingira hayo, Mwalimu alisema kama chama hicho kisipojirekebisha, anaweza kurudisha kadi yao, kwani CCM haikuwa mama yake.
Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalumu huku akitumia maneno hayo ya Mwalimu, Lembeli ambaye pia ni Mbunge wa Kahama alisema baadhi ya wajumbe ni waoga na wanafiki kwa kuogopa kusimamia kile wanachokiamini.
Historia haikarabatiwi, mimi naweza kufa au kuadhibiwa na chama changu kutokana na msimamo huu lakini historia itaandikwa.
Pale Ikulu si kuna picha ya hayati Oscar Kambona, huyu si alifungwa kwa makosa ya uhaini, mbona picha yake haikuondolewa katika viongozi wa historia ya nchi hii? alihoji.
Lembeli alidai kuwa Watanzania wasubiri wamuone wakati wa mjadala wa pamoja wa rasimu ya Katiba bungeni huku akitamba kuwa hatabadili msimamo hata kama unakinzana na wenzake wa CCM.
Sina wa kumfurahisha zaidi ya wapiga kura wangu, hawa ndio wenye uwezo wa kunishughulikia endapo nitaunga mkono jambo ambalo litakuwa kinyume na wao.
Mimi ndiye Lembeli na nitabakia kuwa hivyo, ndiyo maana nilikuwa nataka itumike kura ya siri ili kuhifadhi uhuru wa mawazo yetu. Nyerere alituambia kuwa wananchi wanataka mabadiliko na wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM, alisisitiza.
Lembeli aliwataka wajumbe wenzake kuacha woga wa kufungwa na misimamo ya vyama au makundi yao kwani hata Rais Jakaya Kikwete aliwahi kusema: Akili za kuambiwa changanya na zako.
Chanzo: Tanzania Daima
- Kaka baba yako simjui ila one thing habari za kura ya siri na wazi sio ishu tena imeisha tuwe progressive tuongelee mapya ya kura za siri na wazi yamepitwa na wakati sasa!! na Kidumu chama cha mapinduzi
Le Mutuz
Huu unazi wa kitoto ndio unaotuangusha CDM kwani CDM ndio wanaotaka serikali tatu pekeyao.Basi atoke huko alipo aje kwetu Chadema......
Kama alivyo mama yako?mhuni tu huyu
- TOO BAD Katiba inatengezwa kwa mujibu wa sheria zilizopo sasa ambazo zipo wazi kwamba chama kinachotawala ndio chenye nafasi kubwa ya kuandika Sheria na sio vinginevyo!!
Le Mutuz