Mlengo wa Kati
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 2,730
- 492
Basi atoke huko alipo aje kwetu Chadema......
Hatawezana na mbowe na slaa,madikteta wale na wabaguzi wa watu kwa kanda
Basi atoke huko alipo aje kwetu Chadema......
Hivi vijamaa ni vinafiki sana na haviaminiki katu.
Mbunge wa kahama
james lembeli amesema CCM si mama yake Yupo tayari kuidai Tanganyika popote ndo mana alikua anataka kura ya siri ili kulinda haki ya uhuru wa mtu
adai ata nyerere alisema usipoipata democrasia ndani ya CCM utaipata popote pale
chanzo: magazeti leo
- Yale yale kama upo kwenye chama hakina msimamo kama wako si utoke tu uende kule kwenye chama chenye msimamo kama wako, Rais Reagan alikuwa Democrat mpaka mwaka 1962 alipoona hawana msimamo kama wake akaingia Republican sasa hawa kwa nini wanapiga piga kelele ndani ya chama ambacho hakina msimamo kama wao watoke tu waone kama CCM itayumba!!
Le Mutuz
Ana hasira na nyalandu kumnyima ulaji.
CCM,pigachini hii bulukenge.
Wabunge wote wa ccm watakao muunga mkono Lembeli hakika uchaguzi mkuu watapita bila kupingwa.vyama baadaye nchi kwanza.
Tatizo waoga.