mkuu Mbunge ni mwakilishi wa wananchi na sio kama unavyodhani wewe.Kazi zake soma katika utaona.Vijana wa arusha ni vijana ambao wanajua wajibu wa mbunge waoKuna kipindi niliwahi kusema siasa za Arusha wanaozijua ni wana-Arusha wenyewe kwamaana wananchi hao hao wanaeleza kuwa wanakabiliwa na matatizo lukuki kwasababu hakuna utendaji mzuri wa Mbunge wao.
Jambo ambalo linasifiwa na wananchi ni kuhusiana na suala la machinga, angalau kidogo wanaeleza kuwa wamefanikiwa kukaribia kutimiza malengo yao (aliwapigania kwa kiasi flani kwamaana wkuna watu wanaouza bidhaa kwa kujihami ili wasije wakanyang'anywa mali zao) Pia angalia kilio cha akina Mama kufukuzwa nje ya Soko la Kilombero, Soko Kuu walipokuwa wanafanyia shughuli zao wanavyonyanyaswa na mamlaka husika hadi sasa, Mbunge halioni hili ili wafanyabiashara wadogo wafanye kazi zao kwa uhuru?
Ilifikia kipindi wananachi walimchukia Lema na baadhi ya viongozi wa Chadema kutokana na hali ya usalama jinsi ilivyokuwa na mauaji yaliyotokea, sasa tujiulize kuwa walioathiriwa na vurugu za maandamano, mabomu na lile tukio la mkutano wa Chadema Soweto, sasa hivi wamesaidiwaje na Mbunge tukiachilia nafasi ya Chama?
Nimefikiria hayo machache tu, mengi wanayo wana-Arusha.
mimi nilikuwa Nairobi nimelala ARUSHA sikutatu nimerudi jana usiku,nipo Dar, hamna lolote,taa zilizowekwa bararabarani haziwaki,ahadi zote hamna kitu,Lema kama unampenda muulize yule Meya waliemkataa na kusababisha maafa kwanini leo wanafanyanae kazi.alisababisha mauaji ya kijinga kabisa,Wajane na Yatima wamewaacha kwenye mataa.
Lema ni Alfa na Omega wa jimbo la Arusha..
tumemkubali na kwa pamoja tutajenga Arusha...
Nipo hapa Arusha kuhudhuria Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika. Nimefika hapa jana na nitakuwa hapa hadi Jumapili. Naomba kukuuliza Godbless Jonathan Lema,Mbunge wa Arusha Mjini tulipo Mawakili kwa sasa.
Lema,leo tuambie hapa nini hasa kinachowafanya wana-Arusha wakuamini na kukuheshimu? Wananchi wako wanakuimba kwa mema kwelikweli.
Hata sisi Wasomi wa sheria tunajiona tuko huru na salama kwenye jimbo lako. Lema kiukweli ameiteka na kuikamata Arusha.
Kuna kipindi niliwahi kusema siasa za Arusha wanaozijua ni wana-Arusha wenyewe kwamaana wananchi hao hao wanaeleza kuwa wanakabiliwa na matatizo lukuki kwasababu hakuna utendaji mzuri wa Mbunge wao.
Jambo ambalo linasifiwa na wananchi ni kuhusiana na suala la machinga, angalau kidogo wanaeleza kuwa wamefanikiwa kukaribia kutimiza malengo yao (aliwapigania kwa kiasi flani kwamaana wkuna watu wanaouza bidhaa kwa kujihami ili wasije wakanyang'anywa mali zao) Pia angalia kilio cha akina Mama kufukuzwa nje ya Soko la Kilombero, Soko Kuu walipokuwa wanafanyia shughuli zao wanavyonyanyaswa na mamlaka husika hadi sasa, Mbunge halioni hili ili wafanyabiashara wadogo wafanye kazi zao kwa uhuru?
Ilifikia kipindi wananachi walimchukia Lema na baadhi ya viongozi wa Chadema kutokana na hali ya usalama jinsi ilivyokuwa na mauaji yaliyotokea, sasa tujiulize kuwa walioathiriwa na vurugu za maandamano, mabomu na lile tukio la mkutano wa Chadema Soweto, sasa hivi wamesaidiwaje na Mbunge tukiachilia nafasi ya Chama?
Nimefikiria hayo machache tu, mengi wanayo wana-Arusha.
Jembe lema ni shida
mahali popote ambapo kuna kiongozi anayeziba mirija ya wizi lazima achukiwe naamini hivyo kama lema ni kiongozi wa aina hiyo lazima atapata upinzani wa juu kwa wale waliozoea ubadhirifu
If that is the case gooooo lema
ni aibu kwa mtu unaejiita mwanasheria kutumika kiasi hiki. hii ni afadhali hata ya condom.
Huyu jamaa kutumika ni kawaida yake ukija hapa dar nenda pale mlimani au pale pwani wanamjua sana kwa kutumika kwa kupewa hata elfu kumi tu.
nimemshangaa sana huyo jamaa mwanasheria hewa. hajui kuwa lema zaidi ya umaarufu wake pale arusha hasa wa kuhamasisha fujo hamna chochote cha maana alichokifanya kwa machalii wale.Huyu jamaa kutumika ni kawaida yake ukija hapa dar nenda pale mlimani au pale pwani wanamjua sana kwa kutumika kwa kupewa hata elfu kumi tu.
Hizo barabara nyembamba alitengeneza Lema?Kati ya mji ambao haukustahili kuwa jiji ni Arusha yani hakuna mji wenye barabara nyembamba kama Arusha hasa hile ya Moshi -Arusha au Dar -Arusha! Kwakweli siasa zina haribu mji huo na kuuchelewesha!
Lema hana mchango wowote kwenye mji wa Arusha! Muda mwingine huwa naamini kuwa wana Arusha wanao mchagua Lema wana matatizo kabisa ya kufikiri maana hata ukiwauliza Lema kawafanyia nini hawana la kufanya.
nimemshangaa sana huyo jamaa mwanasheria hewa. hajui kuwa lema zaidi ya umaarufu wake pale arusha hasa wa kuhamasisha fujo hamna chochote cha maana alichokifanya kwa machalii wale.
hizi njaa zitatupeleka pabaya kwa kweli.
Mwanasheria Mwenye akili timamu siku zote hawezi kuongea kama ww hususani kwnyr jimbo lenye changamoto kama hilo .
Umeongea as if kuna mtu kakupa namna ya kuandika.
Maneno yako yamejaa ushabaki na kujipendekeza .