Lema, umewapa nini wana-Arusha?

Lema, umewapa nini wana-Arusha?

Mwanasheria Mwenye akili timamu siku zote hawezi kuongea kama ww hususani kwnyr jimbo lenye changamoto kama hilo .

Umeongea as if kuna mtu kakupa namna ya kuandika.
Maneno yako yamejaa ushabaki na kujipendekeza .
 
Msubirini Nanyaro hapo Arusha Ndio utajua Akili kubwa hata siku moja haiendeshwi na Akili ndogo .
 
Pale Arusha hata agombee katibu mkuu wa magamba ataambulia kura za aibu. wao wanasema A-Town bila Lema HAIPO!! ni Chief wao na hili halina ubishi.

Kuna kipindi niliwahi kusema siasa za Arusha wanaozijua ni wana-Arusha wenyewe kwamaana wananchi hao hao wanaeleza kuwa wanakabiliwa na matatizo lukuki kwasababu hakuna utendaji mzuri wa Mbunge wao.

Jambo ambalo linasifiwa na wananchi ni kuhusiana na suala la machinga, angalau kidogo wanaeleza kuwa wamefanikiwa kukaribia kutimiza malengo yao (aliwapigania kwa kiasi flani kwamaana wkuna watu wanaouza bidhaa kwa kujihami ili wasije wakanyang'anywa mali zao) Pia angalia kilio cha akina Mama kufukuzwa nje ya Soko la Kilombero, Soko Kuu walipokuwa wanafanyia shughuli zao wanavyonyanyaswa na mamlaka husika hadi sasa, Mbunge halioni hili ili wafanyabiashara wadogo wafanye kazi zao kwa uhuru?

Ilifikia kipindi wananachi walimchukia Lema na baadhi ya viongozi wa Chadema kutokana na hali ya usalama jinsi ilivyokuwa na mauaji yaliyotokea, sasa tujiulize kuwa walioathiriwa na vurugu za maandamano, mabomu na lile tukio la mkutano wa Chadema Soweto, sasa hivi wamesaidiwaje na Mbunge tukiachilia nafasi ya Chama?

Nimefikiria hayo machache tu, mengi wanayo wana-Arusha.
 
CHADEMA ya Arusha sasa ni CHADEMA ya Makundi .
Kuna mpasumko mkubwa ndani ya Chama ,wengi hamuujui . ! . Uchaguzi wa Arusha Utawashangaza wengi saana . ! .

Ila kwa kifupi CHADEMA Arusha Imepasuka .
 
Neno 'wananchi' linatumika vbaya,nashangaa hawa wananchi ndo kina nani wakati ndo sisi tunaomkubali LEMA.

Nataka kudiriki kusema wananchi tunaowazungumzia hapa hata theluthi moja haifiki ya wale wanaohusika kusema jambo lolote kuhusu Lema kwamaana hawana uelewa wa kujua mambo yanayoendelea katika maeneo mengi nchi kuhusu Mbunge wao na Jimbo lao. Mfano ni hapa tunavyowasemea, kuna ambao hawana uwezo/uelewa wa kuingia huku JF kujua Mbunge wao anazungumziwaje tofauti na kusikia kwenye Radio, Runinga na kumsoma kwenye magazeti na mengineyo........
 
Nipo hapa Arusha kuhudhuria Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika. Nimefika hapa jana na nitakuwa hapa hadi Jumapili. Naomba kukuuliza Godbless Jonathan Lema,Mbunge wa Arusha Mjini tulipo Mawakili kwa sasa.

Lema,leo tuambie hapa nini hasa kinachowafanya wana-Arusha wakuamini na kukuheshimu? Wananchi wako wanakuimba kwa mema kwelikweli.

Hata sisi Wasomi wa sheria tunajiona tuko huru na salama kwenye jimbo lako. Lema kiukweli ameiteka na kuikamata Arusha.

Pole mkuu,ulikuwa hulijui hilo?
 
Arusha asilimia kubwa ni walevi wazurumati wezi kwa hiyo lazima wamsapoti mwenzao lema
 
CHADEMA ya Arusha sasa ni CHADEMA ya Makundi .
Kuna mpasumko mkubwa ndani ya Chama ,wengi hamuujui . ! . Uchaguzi wa Arusha Utawashangaza wengi saana . ! .

Ila kwa kifupi CHADEMA Arusha Imepasuka .
Huo mgogoro unaujua wewe,sisi chadema arusha hatuujui
 
Nipo hapa Arusha kuhudhuria Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika. Nimefika hapa jana na nitakuwa hapa hadi Jumapili. Naomba kukuuliza Godbless Jonathan Lema,Mbunge wa Arusha Mjini tulipo Mawakili kwa sasa.

Lema,leo tuambie hapa nini hasa kinachowafanya wana-Arusha wakuamini na kukuheshimu? Wananchi wako wanakuimba kwa mema kwelikweli.

Hata sisi Wasomi wa sheria tunajiona tuko huru na salama kwenye jimbo lako. Lema kiukweli ameiteka na kuikamata Arusha.
Karibu kamanda mimi nilikutangulia tokea nilipokuja kwenye mkutano wa ndani wa kanda ya kaskazini sijaondoka niko nafanya kazi za chama, Arusha imebadilika sana tokea kamanda lema Amechukua ubunge vijana wanajielewa na maendeleo nimakubwa sana ukiweza tuonane
 
Karibu Mselewa,hapa ndo hom kwetu na LEMA ndo kila kitu,karibu hom kimandolu.

Ukisema Lema ametupa nini Arusha unakosea, sema CHADEMA wamewapa nini Arusha, Arusha ni waumiini/wadau/wanaharakati wa ukombozi wa mabadiliko, tunataka mabadiliko, tumechoshwa na ccm.
 
Msomi unatumika???

Source ya kutumika hapo ni nini na wewe? Kukwambia yupo A-town na anaangalia ukweli wa mambo na kukujuza, ni kutumika pia? Tatizo tulishazoea kuishi kwa uongo wabongo.
 
Naona Mwanasheria kanjanja unampigia chapuo muhuni mwenzio.
 
LEMA ameiua ARUSHA,wananchi wamemchoka na wanajuta kumchagu,ahadi zake zote zimeota mbawa.

Usiseme ameiua Arusha. Sema ameiua CCM wewe vipi? Lema bado ni jembe letu ninamkubali kama vile ndo kwanza kaanza ubunge. Eleza mambo aliyoyaua hapa Arusha basi tuyaone. Acha kiherehere.
 
Kuna kipindi niliwahi kusema siasa za Arusha wanaozijua ni wana-Arusha wenyewe kwamaana wananchi hao hao wanaeleza kuwa wanakabiliwa na matatizo lukuki kwasababu hakuna utendaji mzuri wa Mbunge wao.

Jambo ambalo linasifiwa na wananchi ni kuhusiana na suala la machinga, angalau kidogo wanaeleza kuwa wamefanikiwa kukaribia kutimiza malengo yao (aliwapigania kwa kiasi flani kwamaana wkuna watu wanaouza bidhaa kwa kujihami ili wasije wakanyang'anywa mali zao) Pia angalia kilio cha akina Mama kufukuzwa nje ya Soko la Kilombero, Soko Kuu walipokuwa wanafanyia shughuli zao wanavyonyanyaswa na mamlaka husika hadi sasa, Mbunge halioni hili ili wafanyabiashara wadogo wafanye kazi zao kwa uhuru?

Ilifikia kipindi wananachi walimchukia Lema na baadhi ya viongozi wa Chadema kutokana na hali ya usalama jinsi ilivyokuwa na mauaji yaliyotokea, sasa tujiulize kuwa walioathiriwa na vurugu za maandamano, mabomu na lile tukio la mkutano wa Chadema Soweto, sasa hivi wamesaidiwaje na Mbunge tukiachilia nafasi ya Chama?

Nimefikiria hayo machache tu, mengi wanayo wana-Arusha.

Hayo ni mawazo yako tu wewe endelea kufikiria. Kwani wale ambao walifia kwenye vita ya Kagera serikali inasaidiaje familia zao? Acha upumbavu usifikiri watu wote humu ni wapumbavu.Kwani Lema alihusika kuua hao watu au ni serikali hiyo hiyo ya CCM ilihusika. Ulitaka Lema awafufue? Hakuna wakina mama wanaoteseka sokoni ach unafiki. Lema kuwa Mbunge haimaanishi kwamba sheria hazitafuatwa.
 
Lema katufanya tuijue siasa ya tz kiundani zaidi....matunda ya lema leo kila mtz anataka kujua uwezo wa makonda na wizi wa pesa
 
kipindi Lema amewekwa gerezani kwa siku 14 na baradhuli wa CCM, kuna bibi nilimuona kashika bango linasomeka, "Lema tunakuthamini kama mtoto mchanga"
 
Back
Top Bottom